Mungu hatokei kijijini kwenu kakaHao singida nakuapia watakuwepo msimu huu na msimu ujao tuu baada ya hapo wataitafuta njia walioijia
Nimekaa 👉 sina maneno mengiMungu hatokei kijijini kwenu kaka
Angalia sababu nyingine za kipuuzi hizi! Mbona hamkulalamika kwenye mechi mliyocheza juzi na Namungo, kwa kocha wa Namungo kumuacha mchezaji muhimu kama Lusajo nje! Na hivyo timu yakr kukosa mshambuliaji wa uhakika?Njoo kwa Golikipa sasa
Mipira yote ilimlenga ye alichokuwa anakifanya ni kuikwepa tu...
Screenshot yako haionekani vizuriHata hii mechi ilikua fixed maana inonga aliinua mguu makusudi Ili mayele apitishe mpira.
Huyu jamaa atakuwa alilipwa hela nyingi sana maana mayele alikuwa na mabeki watatu lakini na yeye akaliacha lango na kukimbia nje ya 18 kwenye goli la pili.Aboubakari Khomeini utajiuliza alikuwa anatokea hovyo kwanini
[emoji1]Hata hii mechi ilikua fixed maana inonga aliinua mguu makusudi Ili mayele apitishe mpira.
Wawa aliingia sababu Beimes kano aliumia.Njoo kwa Golikipa sasa
Mipira yote ilimlenga ye alichokuwa anakifanya ni kuikwepa tu
Unaelewa unaenda kucheza na timu kubwa afu unaingia na viungo wawili
Haya kama hiyo haitoshi cheki sub zao, wameongozwa goli 4 badala uingize watu wansokimbia na wakabaji ambao watasaidia kupeleka mipira kwa kina Kagere, eti ndio kwanza wanamuingiza Wawa
Aliyeongoza goli 4 hana hata wasiwasi wa kulinda ushindi unamuona anawaingiza kina Clement na Kisinda, we umekomaa na kina Wawa yani mbinu ambayo ulitakiwa uingie nayo mwanzoni ndio unataka kuitumia mwishoni ukiongozwa bao 4
Ngada fc punguzeni kula unga ili akili ziwarudie.Njoo kwa Golikipa sasa