Yanga vs Singida ni FIXED MATCH

Njoo kwa Golikipa sasa

Mipira yote ilimlenga ye alichokuwa anakifanya ni kuikwepa tu..
Huyu pia ni golikipa namba 3 baada ya metacha kufungiwa na Benjamin haule kupigwa kadi nyekundu.

Kiuhalisia huyu kipa ni mbovu fuatilia hata goli alofungwa na Banda ni uzembe wake.
 
Wawa aliingia sababu Beimes kano aliumia.
Laiti ungemfwalia Wawa jinsi alivowachoma mechi mbili za mwisho alizocheza hata usingeonge haya unayosema.
Sasa kama aliwahi kuchomesha si ndio unazidi kuipa nguvu hoja yangu kwamba hafai
 
Unaupungufu wa maarifa kichwani
 
Hata hii mechi ilikua fixed maana inonga aliinua mguu makusudi Ili mayele apitishe mpira.
Ficha ujinga wako shida sio kufungwa shida ni namna team inavyocheza haionyeshi upinzani hata kidogo mechi ya jana na ile ya mtimbwa ni mjinga tu ndo atakubali hazikuwa fixed.
 
Haya mambo yote kayasababisha zalan wangekutana na ki team ngumu kidogo tu basi safari yao ilikuwa inaishia pale pale taifa.
 
Mkuu according to them Simba tu ndio wenye uhalali wa kufungwa na Yanga wengine wote hua wanahongwa au refa kapewa bahasha
 
Hawa mbumbu wala wasikupe shida aisee
 
Ficha ujinga wako shida sio kufungwa shida ni namna team inavyocheza haionyeshi upinzani hata kidogo mechi ya jana na ile ya mtimbwa ni mjinga tu ndo atakubali hazikuwa fixed.
Hii ndio point ya msingi inayoonyesha fixed natch
 
Shida sio kufungwa shida ni ile fighting spririt team zikicheza na simba na zinapocheza na yanga zinakuwa tofauti ile mechi ya mtibwa na yanga ilikuwa fixed na ile ya jana wachezaji wa team pinzani walikuwa hawajitumi kabisa.
Sasa mbona hata timu yako ya simba nayo inapocheza na Yanga huwa inafungwa! Na ikijitahidi sana basi huambulia sare! Unataka kusema na yenyewe pia huwa inakosa hiyo fighting spirit?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…