Yanga vs Singida ni FIXED MATCH

Hawa ndio walimwiza Banda makusudi Jana kaseke anapoteza pasi ila kabakizwa hadi mwisho
Mbona yule kiungo wenu punda ni bingwa wa kutoa pasi mkaa, na ambazo baadhi yake zilimsaidia Fei Toto kuwafunga goli la mbali, lakini kila mechi amekiwa akianzishwa?

Kibu Denis kila mechi anaruka tuka tu uwanjani, na mara zote mmekuwa mkilalamika humu! Lakini bado anaendelea kupangwa na kocha wenu Juma Mgunda?
 
Huna akali. Nyie mkiwafunga Mtibwa tano ni sawa. Tena huku wakipewa kadi nyekundu zisizo na vichwa wala miguu.
 
Kama juzi Namungo v Simba Kichuya alipoteza pasi zote, Lusajo ikabidi awekwe nje kabisa asianze, Banka akawa anacheza foul tu makusudi hata akiwa na mpira yeye, Namungo washuke tu daraja
Mwenyewe najiuliza kwanini lusajo akuanza au lah kwanini aliingia mwishoni na lile jamaa namba 9 mgongoni lilikua limesimama tu pale mbele
 
Toka mlijue neno fixed basi kila kitu ni fixed.
Yote uloongea hapa ni matukio ya kawaida kabisa katika mpira.

Messi na ufupi wake ashawahi ruka mpira wa kichwa mbele ya Ferdinand na vidic ambao ni warefu na walibaki wanaangalia tu.

Kikubwa tujifunze kwanzq mpira na tuwe tunaangalia mechi nyingi Ili kupunguza kuongea ujinga .
 
Lile goli alilofungwa na banda haukuliona? Au makosa ya kipa unayaona kwenye mechi za yanga tu?
 
Shida sio kufungwa shida ni ile fighting spririt team zikicheza na simba na zinapocheza na yanga zinakuwa tofauti ile mechi ya mtibwa na yanga ilikuwa fixed na ile ya jana wachezaji wa team pinzani walikuwa hawajitumi kabisa.
Ngao ya jamii nayo ilikua fixed?
 
Wamejitia nuksi hao. Kushuka daraja kwaja. Utabiri tuu
 
Kama ilivyo zile za goli8 za cositolo unioni sio🤨
 
Alimuingiza Wawa kusaidia kupunguza idadi ya magoli. Mkuu wewe ukocha ulisoma ili ukusaidie kujua tactical substution zinavyokua au unajaribu ku guess tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yameshafika manne so huyo Wawa aliingizwa kuyapunguza liwe moja?

Hiyo mbinu ya kuzuia ndio ilitakiwa iwe game plan ya mwalimu tangu mpira unapoanza

Ukishafungwa 4 hapo huna sababu ya kuendelea kuweka mabeki kulinda usifungwe kumbuka hii sio mechi ya mtoano kwamba idadi ya magoli yanaweza sababisha usifuzu kwenye mechi ya marudiano

Mwalimu alitakiwa aweke full mkoko timu icheze do or die iwe inashambulia tena hilo lingewezekana kutokana na wachezaji wengi wa Yanga waliokuwa wasumbufu walitoka sub
 
Huna akali. Nyie mkiwafunga Mtibwa tano ni sawa. Tena huku wakipewa kadi nyekundu zisizo na vichwa wala miguu.
Tena wanajigamba wameshinda huku wamepunguza timu mtu mbili 🏃🚶
 
Hao singida nakuapia watakuwepo msimu huu na msimu ujao tuu baada ya hapo wataitafuta njia walioijia
Msimu huu wanamaliza top 3
1. Yanga
2. Azam
3. SBS

au
1. Azam
2. Yanga
3. SBS

Singida bado wapo sana kwenye ligi kuu pengine washuke daraja miaka 10 ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…