Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mbona yule kiungo wenu punda ni bingwa wa kutoa pasi mkaa, na ambazo baadhi yake zilimsaidia Fei Toto kuwafunga goli la mbali, lakini kila mechi amekiwa akianzishwa?Hawa ndio walimwiza Banda makusudi Jana kaseke anapoteza pasi ila kabakizwa hadi mwisho
Kibu Denis kila mechi anaruka tuka tu uwanjani, na mara zote mmekuwa mkilalamika humu! Lakini bado anaendelea kupangwa na kocha wenu Juma Mgunda?