Yanga vs Singida ni FIXED MATCH

Shida sio kufungwa shida ni ile fighting spririt team zikicheza na simba na zinapocheza na yanga zinakuwa tofauti ile mechi ya mtibwa na yanga ilikuwa fixed na ile ya jana wachezaji wa team pinzani walikuwa hawajitumi kabisa.
Mfa maji hakosi kutapa tapa, poleni sana Simba kikundi cha malalamiko [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
wewe ni mpuuzi
 
Siamini kama mashabiki wa simba akili zao zimefikia hapa
 
Hizo ni fikra ulizonazo wewe. Kocha wa SBS alikua na mawazo yake mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu huu wanamaliza top 3
1. Yanga
2. Azam
3. SBS

au
1. Azam
2. Yanga
3. SBS

Singida bado wapo sana kwenye ligi kuu pengine washuke daraja miaka 10 ijayo
Sina tatizo na wao kuwa top 3 kama unavyodai lakini msimu wa tatu kutoka sasa hawatakuwa ligi kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…