Yanga vs Singida ni FIXED MATCH

Yanga vs Singida ni FIXED MATCH

Shida sio kufungwa shida ni ile fighting spririt team zikicheza na simba na zinapocheza na yanga zinakuwa tofauti ile mechi ya mtibwa na yanga ilikuwa fixed na ile ya jana wachezaji wa team pinzani walikuwa hawajitumi kabisa.
Mfa maji hakosi kutapa tapa, poleni sana Simba kikundi cha malalamiko [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Katika maisha yangu ya kuangalia mpira sikuwahi kujua matokeo ya mechi yanapangwa vipi Hadi nilipoangalia mechi ya Taifa Stars na Uganda pia na ile ya Jana ya Yanga na Singida

THE MATCH WAS TOTALLY FIXED
Dario Federico haja-dribble past hata Mara moja

Deus Kaseke kapoteza pasi zote

Bruno Gomes kama mgonjwa vile

Aboubakari Khomeini utajiuliza alikuwa anatokea hovyo kwanini

Mangalo anamkaba Fei kama mtu na shogaake wanacheza rede

Singida washuke daraja tu up
wewe ni mpuuzi
 
Yameshafika manne so huyo Wawa aliingizwa kuyapunguza liwe moja?

Hiyo mbinu ya kuzuia ndio ilitakiwa iwe game plan ya mwalimu tangu mpira unapoanza

Ukishafungwa 4 hapo huna sababu ya kuendelea kuweka mabeki kulinda usifungwe kumbuka hii sio mechi ya mtoano kwamba idadi ya magoli yanaweza sababisha usifuzu kwenye mechi ya marudiano

Mwalimu alitakiwa aweke full mkoko timu icheze do or die iwe inashambulia tena hilo lingewezekana kutokana na wachezaji wengi wa Yanga waliokuwa wasumbufu walitoka sub
Hizo ni fikra ulizonazo wewe. Kocha wa SBS alikua na mawazo yake mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu huu wanamaliza top 3
1. Yanga
2. Azam
3. SBS

au
1. Azam
2. Yanga
3. SBS

Singida bado wapo sana kwenye ligi kuu pengine washuke daraja miaka 10 ijayo
Sina tatizo na wao kuwa top 3 kama unavyodai lakini msimu wa tatu kutoka sasa hawatakuwa ligi kuu
 
Back
Top Bottom