Yanga vs tawi lake point haziulizwi hapo hiyo nayo ni timu ya jeshi tutegemee magoli ya mchongo!

Yanga vs tawi lake point haziulizwi hapo hiyo nayo ni timu ya jeshi tutegemee magoli ya mchongo!

Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli manne ya kipa kujiangisha au kufumba macho yaani mchongo mchongo tunaomba Tff wafanye uchunguzi wa upangaji wa matokeo hizi timu za majeshi zinatia wasi wasi wakikutana na yanga....

Swali usajili wa nini nanyi mmefungiwa kwa madeni kweli haji manara alisema yanga wenye akili ni wawili tu ndio maana wengine unaweza wanunua kwa supu na chapati tu.
Waanze na magoli wanayofungwa Simba na Yanga kwani yanafanana hivyo kuashiria mchongo, Simba katika ubora wake huko nje si timu ya kufungwa na Yanga asilani.
 
Atuwezi kubishana na nyie hadhi yenu labda mbishane na wakinamama wenzenu kwenye kikombe cha kahawa,,msitake kujilinganisha na wanaume ni Bora mkafunga midomo yenu
Ile medali mnayotamba nayo mtaani ni ya kombe gani?
 
Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli manne ya kipa kujiangisha au kufumba macho yaani mchongo mchongo tunaomba TFF wafanye uchunguzi wa upangaji wa matokeo hizi timu za majeshi zinatia wasi wasi wakikutana na Yanga.

Swali usajili wa nini nanyi mmefungiwa kwa madeni kweli haji manara alisema Yanga wenye akili ni wawili tu ndio maana wengine unaweza wanunua kwa supu na chapati tu.
Unaumwa wewe si bure.
 
Back
Top Bottom