Yanga vs zamaleck

Yanga vs zamaleck

Acha utoto soma juu bana watu wako dk ya 71 unakuja dk ya 35 unaangalia tv lowassa nini??
 
Lol funny ,huyu Aden Rage ana vituko kweli mara tv mara kujenga uwanja wa kisasa mara ghorofa kitega uchumi, si yetu macho.
 
Dah hivi yanga ishawahi kuwafunga warabu wa egypt hata mechi moja toka ianzishwe??? Mnaojua niambieni
 
Nauli ya yanga kwenda Egypt bora tungenunua Bundle la Internet.

teh teh teh na hv airtel wacvo2fanyia fair! Wangekusanya nao wajenge tv yao, aibu kwa taifa,furaha kwa simba.
 
Mpaka hapo wameshndwa hakuna cha ajabu tena Na logoff thread hii
 
Full time: Zamaleki 1-0 Yanga and 2-1 on aggregate, poleni watani nasi ngoja tusubiri yetu kesho.
 
Duuuh lakini yanga wanamkosi kweli kila wakipangwa wanaanza na team za egypt ambazo ni ngumu kuzitoa.hii zamalek haikuwa ya kutisha sana kwa wale tulioenda pale taifa sema ndio sikio la kufa. Yanga iombe tactics kwa simba kuwafunga warabu.
 
heh!.....

haya jamani...!

poleni watani
 
Asanteni wote kwa kutupa up2date.
MUNGU awabariki ili muwe na moyo huo huo,
 
Back
Top Bottom