Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Kama Yanga wanataka kubeba kombe la Club Bingwa Africa lazima wafanyie kazi udhaifu uliopo kwenye upigaji penati na mipira ya adhabu.
Gamond ni bonge la kocha lakini si mzuri kwenye hizo sehemu nilizotaja. Kama timu inataka kuingia kwenye kuwa professional football club iliyo kamilika inabidi wakubali kuingia gharama kuajiri mtaalum wa hayo mambo mawili au matatu na throw in coach yaani mambo ya kurusha mipira iliyotoka nje ya uwanja.
Kumbukeni Ngao ya jamiii 2023/2024 dhidi ya Simba, CCL quarter final dhidi ya Masandawana, mechi dhidi ya Azam CRDB FA Cup final dhidi ya Azam almanusura washindwe kutetea ubingwa.
Waache kumpa Aziz Ki kupiga penati kwenye mechi zenye shinikizo sababu jamaa ni dhaifu sana emotionally mnakumbuka alitoa chozi sababu ya zawadi ya birthday mbele ya mrembo?
Huyo ni mtoto wa mama dhaifu kuhimili pressure japo ni fundi sana.
Moderator nisaidieni kurekebisha thread title neno penult lisomeke penalty shoots.