Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,261
- 3,580
Badala ya physiology unatakiwa kutumia psychologyHapo sijui hilo neno kama sahihi ila nilitaka kumaanisha alimsoma mawazo yake na akagundua hvyo so hakumpa nafasi ya kuwa mpigaji wa kwanza
Sasa sijui hilo neno nilotumia no sahihi ama vipi
Unaweza nirekebisha mkuu usiogope napenda kujifunza