Yanga waajiri kocha wa free kicks, na penalty shoots

ila kiujumla timu zote hazikuwa na fitness inayotakiwa, nadhani mapumziko yamewathiri
 
Moderator nisaidieni kurekebisha thread title neno penult lisomeke penalty shoots.
 
Naunga mkono hoja vilevile Bacca ni beki mzuri sana ila asipige penati Tena
 
Si m
Kama Yanga wanataka kubeba kombe la Club Bingwa Africa lazima wafanyie kazi udhaifu uliopo kwenye upigaji penati na mipira ya adhabu.

Gamond ni bonge la kocha lakini si mzuri kwenye hizo sehemu nilizotaja. Kama timu inataka kuingia kwenye kuwa professional football club iliyo kamilika inabidi wakubali kuingia gharama kuajiri mtaalum wa hayo mambo mawili au matatu na throw in coach yaani mambo ya kurusha mipira iliyotoka nje ya uwanja.

Kumbukeni Ngao ya jamiii 2023/2024 dhidi ya Simba, CCL quarter final dhidi ya Masandawana, mechi dhidi ya Azam CRDB FA Cup final dhidi ya Azam almanusura washindwe kutetea ubingwa.

Waache kumpa Aziz Ki kupiga penati kwenye mechi zenye shinikizo sababu jamaa ni dhaifu sana emotionally mnakumbuka alitoa chozi sababu ya zawadi ya birthday mbele ya mrembo?

Huyo ni mtoto wa mama dhaifu kuhimili pressure japo ni fundi sana.

Moderator nisaidieni kurekebisha thread title neno penult lisomeke penalty shoo
S

Sio maeneo hayo tu,hata kwenye upigaji wa Kona,mara ya mwisho Yanga kufunga goli la kona sijui ilikuwa mwaka gani.
 
Kama Yanga wanataka kubeba kombe la Club Bingwa Africa lazima wafanyie kazi udhaifu uliopo kwenye upigaji penati na mipira ya adhabu.

Gamond ni bonge la kocha lakini si mzuri kwenye hizo sehemu nilizotaja. Kama timu inataka kuingia kwenye kuwa professional football club iliyo kamilika inabidi wakubali kuingia gharama kuajiri mtaalum wa hayo mambo mawili au matatu na throw in coach yaani mambo ya kurusha mipira iliyotoka nje ya uwanja.

Kumbukeni Ngao ya jamiii 2023/2024 dhidi ya Simba, CCL quarter final dhidi ya Masandawana, mechi dhidi ya Azam CRDB FA Cup final dhidi ya Azam almanusura washindwe kutetea ubingwa.

Waache kumpa Aziz Ki kupiga penati kwenye mechi zenye shinikizo sababu jamaa ni dhaifu sana emotionally mnakumbuka alitoa chozi sababu ya zawadi ya birthday mbele ya mrembo?

Huyo ni mtoto wa mama dhaifu kuhimili pressure japo ni fundi sana.

Moderator nisaidieni kurekebisha thread title neno penult lisomeke penalty shoots.
Agreed 💯.
 
Alipotenga mpira tu nikasema inapaa Diara akalala kabisa asione yani sijajua kwa Nini lakini Aziz na Bacca niliona kabisa hawafungi na Job nae angepiga Jana asingefunga
Wapigaji waziri wa penalti ni mabeki na viungo....forwards ndemaaaa.......
 
Kukosa penalty kwenye mechi haimaanishi mkosaji hajui kitu! Upigaji mzuri wa penalty ni combination ya accuracy na psychology Kwa ujumla ni MENTAL na PHYSICAL fitness. Hata hivyo mtoa mada una point
Ndiyo hapo anatakiwa mtu wa kuwajenga kisaikolojia na kuwaelekeza wapige wapi, na timu inaweza kuanza kuwafuatilia goalkeepers wote ambao ni potential competitor, Imminent opponents.
Kazi ya kuwafuatilia hao wapinzani haiwezi kufanywa na team manager Kama Gamond.
Liverpool waligundundua udhaifu huu wakaajiri hadi bingwa wa surfing, kampuni ya mambo ya saikolojia kwenye michezo, coach wa mipira ya kurusha n.k.
Hakika waliongeza ufanisi wakachukua klabu bingwa Ulaya, na kombe la ligi kuu yao.
 
Nakubaliana na wewe mazima
 
Kama Yanga wanataka kubeba kombe la Club Bingwa Africa lazima wafanyie kazi udhaifu uliopo kwenye upigaji penati na mipira ya adhabu.

Gamond ni bonge la kocha lakini si mzuri kwenye hizo sehemu nilizotaja. Kama timu inataka kuingia kwenye kuwa professional football club iliyo kamilika inabidi wakubali kuingia gharama kuajiri mtaalum wa hayo mambo mawili au matatu na throw in coach yaani mambo ya kurusha mipira iliyotoka nje ya uwanja.

Kumbukeni Ngao ya jamiii 2023/2024 dhidi ya Simba, CCL quarter final dhidi ya Masandawana, mechi dhidi ya Azam CRDB FA Cup final dhidi ya Azam almanusura washindwe kutetea ubingwa.

Waache kumpa Aziz Ki kupiga penati kwenye mechi zenye shinikizo sababu jamaa ni dhaifu sana emotionally mnakumbuka alitoa chozi sababu ya zawadi ya birthday mbele ya mrembo?

Huyo ni mtoto wa mama dhaifu kuhimili pressure japo ni fundi sana.

Moderator nisaidieni kurekebisha thread title neno penult lisomeke penalty shoots.
Wanatakiwa wafanye mazoezi tu
 
Kuliko kuingia gharama kutafta makocha wa Penalties ambazo msimu mzima timu inaweza kuingia kwenye shoot out mara moja au istokee na inawezekana ikatolewa bora kuajiri kocha wa washambuliaji mfano mechi ya Yanga na Mamelodi kama Mzize angekua clinical wasingefika matuta
 
Kabla ya penalty niliwaambia watu wakati tunacheck GAME GAMOND asimpe AZIZ KI penalty aanze ana PRESHA sana lazima akose na ikawa kweli

Kocha wa AZAM yuko vizuri KI PHYSIOLOGY alimsoma FEI na akajua akimpa aanze atakosa
Yupo vizuri ki physiology mkuu..?
Unaelewa kweli ulichoandika..?
 
Kama Yanga wanataka kubeba kombe la Club Bingwa Africa lazima wafanyie kazi udhaifu uliopo kwenye upigaji penati na mipira ya adhabu.

Gamond ni bonge la kocha lakini si mzuri kwenye hizo sehemu nilizotaja. Kama timu inataka kuingia kwenye kuwa professional football club iliyo kamilika inabidi wakubali kuingia gharama kuajiri mtaalum wa hayo mambo mawili au matatu na throw in coach yaani mambo ya kurusha mipira iliyotoka nje ya uwanja.

Kumbukeni Ngao ya jamiii 2023/2024 dhidi ya Simba, CCL quarter final dhidi ya Masandawana, mechi dhidi ya Azam CRDB FA Cup final dhidi ya Azam almanusura washindwe kutetea ubingwa.

Waache kumpa Aziz Ki kupiga penati kwenye mechi zenye shinikizo sababu jamaa ni dhaifu sana emotionally mnakumbuka alitoa chozi sababu ya zawadi ya birthday mbele ya mrembo?

Huyo ni mtoto wa mama dhaifu kuhimili pressure japo ni fundi sana.

Moderator nisaidieni kurekebisha thread title neno penult lisomeke penalty shoots.
Huwa sielewi ni kwanini aziz ki anapewa jukumu la kupiga penati(labda kumsaidia achukue ufungaji bora). Penati za aziz ki rahisi sana kuzidaka kama kipa akiotea upande kwa sababu hapigi mpira kwa nguvu na pia anapeleka mpira kwenye angle ambayo ni rahisi kipa kuifikia.
 
Back
Top Bottom