Mpatuka JF-Expert Member Joined Nov 15, 2015 Posts 2,261 Reaction score 3,580 Jun 3, 2024 #41 Mzimu wa Kolelo said: Hapo sijui hilo neno kama sahihi ila nilitaka kumaanisha alimsoma mawazo yake na akagundua hvyo so hakumpa nafasi ya kuwa mpigaji wa kwanza Sasa sijui hilo neno nilotumia no sahihi ama vipi Unaweza nirekebisha mkuu usiogope napenda kujifunza Click to expand... Badala ya physiology unatakiwa kutumia psychology
Mzimu wa Kolelo said: Hapo sijui hilo neno kama sahihi ila nilitaka kumaanisha alimsoma mawazo yake na akagundua hvyo so hakumpa nafasi ya kuwa mpigaji wa kwanza Sasa sijui hilo neno nilotumia no sahihi ama vipi Unaweza nirekebisha mkuu usiogope napenda kujifunza Click to expand... Badala ya physiology unatakiwa kutumia psychology