OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
najiuliza hawa wachezaji wapya na waajiriwa wengine kama Senzo,huwa wanafanya tathmini na due deligence ya uwezo wa kifedha wa hii timu?wanafanya tathmini ya reliability ya malipo na ufadhili? au wanajisainia tuYanga mbona sasa wanaanza kushindwa mapema?
michango bado mapema hivi ata ligi aijaanza pesa zimeisha?
Senzo alikurupuka Sana! Pale Utopolo ndo ataona Bora hata midume Simba!najiuliza hawa wachezaji wapya na waajiriwa wengine kama Senzo,huwa wanafanya tathmini na due deligence ya uwezo wa kifedha wa hii timu?wanafanya tathmini ya reliability ya malipo na ufadhili? au wanajisainia tu
Mura iyo yinsi nenganaOMKOMBERI tana nkoro wahenga walisema
ππππππππππππππSenzo alikurupuka Sana! Pale Utopolo ndo ataona Bora hata midume Simba!
Utopolo ka suruali ya Mlevi, huwezi kujua imeloa na mkojo au pombe!
Utopolo fcOmba Omba Fc
Saidia Baba Fc
Tumeipenda wenyewe acha ituue tu.
Mkiwa hamna hela mnajiita wananchi hahaha Gabachori GSM naona mzigo umekata hahahaha anzeni kuchanga mishaharayes sisi ni team ya wananchi,
bora tuchangishane wenyewe kuliko kupewa pesa na Gabachori mmoja mla tambuu alafu aje kutupangia hadi vyama vya siasa vya kushabikia.
Mbumbumbu wamemuuzia timu gabachori na sasa anafanya atakavyo timu imetolewa kwa ccm na wanachama wamrkuwa lumumba buku 7yes sisi ni team ya wananchi,
bora tuchangishane wenyewe kuliko kupewa pesa na Gabachori mmoja mla tambuu alafu aje kutupangia hadi vyama vya siasa vya kushabikia.
Shida ya maskini au akili za kimaskini ni kumponda tajiri akitegemea kuwa atafilisika kuwa kama yeye. Ndugu? Utangoja sanaNa kweli huyo mdosi anawachezea sana.
Mbumbumbu wamemuuzia timu gabachori na sasa anafanya atakavyo timu imetolewa kwa ccm na wanachama wamrkuwa lumumba buku 7
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio Dar Young African tena.
Ni timu ya Wananchi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Shida ya maskini au akili za kimaskini ni kumponda tajiri akitegemea kuwa atafilisika kuwa kama yeye. Ndugu? Utangoja sana
Mpira ni uwekezaji.. sio uswahili na maneno mengi
Kawaida yetu kupitisha bakuli,maana hata haji manara alipoumwa macho wananchii tulimpitishia bakuli akatibiwa...naona Mkiti wao Mshindo Msolla kawasihi wanna Yanga kuichangia timu ili kufanikisha usajili wa nyota wengine wawili.
Hii tabia tegemezi itaua timu zetu asee!
Poleni watani, nyie igeni tu kun.ya kwa tembo! Na yule Senzo gharama zake zitawagharimu Sana Kama mlishindwa kumlipia DSTV kocha wenu mholanzi hiyo mighalama ya wachezaji+Senzo mtaweza???
Jamaa aamini anachokiona,Mbona tena mazoezi yanafanyik kwenye kiwanja cha kuchinjia ng'ombe,!!!!.
hadi huruma
Jamaa aamini anachokiona,Mbona tena mazoezi yanafanyik kwenye kiwanja cha kuchinjia ng'ombe,!!!!.