Yanga waanza kupitisha Bakuli tena!

Yanga waanza kupitisha Bakuli tena!

Yanga mbona sasa wanaanza kushindwa mapema?
michango bado mapema hivi ata ligi aijaanza pesa zimeisha?
najiuliza hawa wachezaji wapya na waajiriwa wengine kama Senzo,huwa wanafanya tathmini na due deligence ya uwezo wa kifedha wa hii timu?wanafanya tathmini ya reliability ya malipo na ufadhili? au wanajisainia tu
 
Senzo alikurupuka Sana! Pale Utopolo ndo ataona Bora hata midume Simba!

Utopolo ka suruali ya Mlevi, huwezi kujua imeloa na mkojo au pombe!
 
Senzo alikurupuka Sana! Pale Utopolo ndo ataona Bora hata midume Simba!

Utopolo ka suruali ya Mlevi, huwezi kujua imeloa na mkojo au pombe!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
yes sisi ni team ya wananchi,

bora tuchangishane wenyewe kuliko kupewa pesa na Gabachori mmoja mla tambuu alafu aje kutupangia hadi vyama vya siasa vya kushabikia.
Mbumbumbu wamemuuzia timu gabachori na sasa anafanya atakavyo timu imetolewa kwa ccm na wanachama wamrkuwa lumumba buku 7
 
Na kweli huyo mdosi anawachezea sana.
Shida ya maskini au akili za kimaskini ni kumponda tajiri akitegemea kuwa atafilisika kuwa kama yeye. Ndugu? Utangoja sana
Mpira ni uwekezaji.. sio uswahili na maneno mengi
 
Shida ya maskini au akili za kimaskini ni kumponda tajiri akitegemea kuwa atafilisika kuwa kama yeye. Ndugu? Utangoja sana
Mpira ni uwekezaji.. sio uswahili na maneno mengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Utopolo fc Ni janga la taifa, wanaandamana kupokea wachezaji ( waajiriwa wa timu) airport na kumbeba mzegamzega injinia, ila mda siyo mrefu wataanza kulialia Tena!

Wanahamu sana ila kombe hawapati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
...naona Mkiti wao Mshindo Msolla kawasihi wanna Yanga kuichangia timu ili kufanikisha usajili wa nyota wengine wawili.

Hii tabia tegemezi itaua timu zetu asee!

Poleni watani, nyie igeni tu kun.ya kwa tembo! Na yule Senzo gharama zake zitawagharimu Sana Kama mlishindwa kumlipia DSTV kocha wenu mholanzi hiyo mighalama ya wachezaji+Senzo mtaweza???
Kawaida yetu kupitisha bakuli,maana hata haji manara alipoumwa macho wananchii tulimpitishia bakuli akatibiwa
 
Jamaa aamini anachokiona,Mbona tena mazoezi yanafanyik kwenye kiwanja cha kuchinjia ng'ombe,!!!!.

Lakini umekiona hicho kiatu alichopewa na Manyani 😂😂 utadhani anakwenda kupiga Shoo na Mondi 😂

Lakini Mwamba kajiongeza Jana nimeona picha zake kwenye ukurasa wa twitter wa JustFitz kaenda kununua Viatu vya mazoezi kwa hela yake 😂😂
 
Back
Top Bottom