Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Tuwaone wakiwa humo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWANINI HAMKWENDA NA BUS LENU?Hili ndo basi wamepewa Yanga SC na wenyeji wao huko nchini Nigeria kwa ajili ya matumizi wakiwa nchini humo kwa ajili ya mchezo wa CAF confederation dhidi ya Rivers hapo kesho.
View attachment 2596550
Hivi Klabu yoyote ile Siku hizi kufanyiwa Figisu ni Jambo la Kushangaza?Hili ndo basi wamepewa Yanga SC na wenyeji wao huko nchini Nigeria kwa ajili ya matumizi wakiwa nchini humo kwa ajili ya mchezo wa CAF confederation dhidi ya Rivers hapo kesho.
View attachment 2596550
wewe ni msemaji wa yanga,ok,upo Lagos au upo manzese Argentina umelewa banana?Hili ndo basi wamepewa Yanga SC na wenyeji wao huko nchini Nigeria kwa ajili ya matumizi wakiwa nchini humo kwa ajili ya mchezo wa CAF confederation dhidi ya Rivers hapo kesho.
View attachment 2596550
Ujinga ujinga maana yake ni nini mkuu? Neno ujinga linajitosheleza.Kwani bus litacheza au watachezea ndani ya bus?
Kwanini wasingekodi?
Huu ni ujinga ujinga tu
Msisitizo tu mkuuUjinga ujinga maana yake ni nini mkuu? Neno ujinga linajitosheleza.
Hii gari ina tatizo gani?Hili ndo basi wamepewa Yanga SC na wenyeji wao huko nchini Nigeria kwa ajili ya matumizi wakiwa nchini humo kwa ajili ya mchezo wa CAF confederation dhidi ya Rivers hapo kesho.
View attachment 2596550
Mashabiki wengi wa simba ni mbumbumbu. Wanapayuka tu bila ya sababu za msingi.Timu imelalamika wapi? Unamjuwa msemaji wa Yanga?
Au unadhani Yanga ni kama club ya komoni tu mtu yoyote anaweza kuisemea?
Cc: MINOCYCLINE 😇Hivi Klabu yoyote ile Siku hizi kufanyiwa Figisu ni Jambo la Kushangaza?
Kama mlijua mnaenda mbali huko na Kutwa mnatamba mna Hela kwanini hamkukodi Gari lenu?
Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa mmeshajua Kesho mnafugwa na hapa mnatengeneza Kisingizio.
Sisi Simba SC tayari tumeshampa Zawadi ya Eid Rais na Watanzania bado nyie Kesho.
Mkiambiwa mjifunze Kucheza / Kushiriki Michuano ya Kimataifa kwa Simba SC hamtaki.
Hovyoooooooo.....!!!!!!
Cc: SAGAI GALGANO
Uwongoooo..Hili ndo basi wamepewa Yanga SC na wenyeji wao huko nchini Nigeria kwa ajili ya matumizi wakiwa nchini humo kwa ajili ya mchezo wa CAF confederation dhidi ya Rivers hapo kesho.
View attachment 2596550
Hivi gari mnapewa au mnakodi wenyewe? na kama mnapewa likiwa bovu si mnalikataa mnatafuta la kukodiHili ndo basi wamepewa Yanga SC na wenyeji wao huko nchini Nigeria kwa ajili ya matumizi wakiwa nchini humo kwa ajili ya mchezo wa CAF confederation dhidi ya Rivers hapo kesho.
View attachment 2596550
Mashabiki wengi wa simba ni mbumbumbu. Wanapayuka tu bila ya sababu za msingi.
Mtu kajiletea taarifa yake from unknown source! Tayari masikio yao yamesimama kama popo kuilaumu klabu, as if ndiyo iliyotoa hiyo taarifa.
Timu imelalamika wapi? Unamjuwa msemaji wa Yanga?
Au unadhani Yanga ni kama club ya komoni tu mtu yoyote anaweza kuisemea?