Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Sasa hiyo gari ina tatizo gani kwani! Haitembei? Na mbona hata hai Yanga wana uwezo wa kukodi gari nyingine nzuri kama wanataka! Shida iko wapi? Huyo Rashid Mkomwa ndiyo msemaji wa Yanga?View attachment 2597067
Rashid mkomwa ni reporter wa clouds kasafiri na timu kwa maelezo yake ni wenyeji ambao ni liver wamedai wenyewe ni wageni kule lakini yanga walishafanya logistics mapema na walijipanga kwa kila kitu
Mimi nadhani ungemshauri kujikita kwenye kukusanya taarifa za msingi. Hayo mambo ya gari bovu sijui, hayana mashiko kwenye dunia ya sasa.