Kwanza unajua hata maana ya AFCON huenda hata hujuiShirikisho la kabumbu Afrika (CAF) limeyakubalia mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa michuano ya Afcon 2027
Ambapo Kwa uchambuzi wangu naona raisi wa Shirikisho la mpira barani Africa Motsepe amepigania sana hii nafasi kwa sababu 1 kwa Afrika Mashariki kuandaa michuano ya AFCON ni mafanikio ya Klabu ya Yanga kufika hatua fainali ya CAFCC na kuwa timu ya kwanza kucheza fainali za CAFCC na kuvaa medali ya CAF.
Maendeleo hayana Chama
Ahsanteni Wananchi
View attachment 2764694
Sasa inahusiana nini na michuano au ubora wa clubs...Shida ya watu wa Yanga huwa wnajions wao kama MUNGU VILEKwani hujui michuano ya mataifa ya Africa
Bora uku kuna wawili,Ila kule wote mambumbumbu[emoji144]Manara nabii kule wapo wawili tu.
AfconAFCON na super league ipi kubwa