Espoir_jnr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 489
- 1,934
CAF wapo kibiashara zaidi.
Point yao kubwa ni huu uongezeko mkubwa wa wapenda mpira katika nchi za afrika mashariki hususani Tanzania.
Ukifuatilia namba wanazopata CAF kupitia mitandao ya kijamii wakiziposti hizi team za hapa kwetu sambamba na mahudhurio ya watu viwanjani ni makubwa sana ki msingi tuna "Mad Football fans" huku kwetu afrika mashariki hususani Tanzania.
Hakuna Sababu ya kwamba Team X ilifika fainali wala nini.
Mpira ni biashara kubwa sana na hili ndio lengo lao.