Yanga waileta AFCON Africa mashariki

Yanga waileta AFCON Africa mashariki

CAF wapo kibiashara zaidi.
Point yao kubwa ni huu uongezeko mkubwa wa wapenda mpira katika nchi za afrika mashariki hususani Tanzania.
Ukifuatilia namba wanazopata CAF kupitia mitandao ya kijamii wakiziposti hizi team za hapa kwetu sambamba na mahudhurio ya watu viwanjani ni makubwa sana ki msingi tuna "Mad Football fans" huku kwetu afrika mashariki hususani Tanzania.
Hakuna Sababu ya kwamba Team X ilifika fainali wala nini.
Mpira ni biashara kubwa sana na hili ndio lengo lao.
 
Una hoja mkuu
 
Uko sahihi mkuu. Mleta mada asome na kuogeza kitu kwenye head yake. Maana alichokiandika ukimaliza kusoma badala kuchangia hoja, unaweza kumuuliza umri wake!
 
Mimi ni Simba lakini huu ni ukweli mtupu Yanga kaitangaza Tanzania kimataifa
 
Back
Top Bottom