Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Brother tuheshimiane basi japo kidogo, yani sisi Yanga kubeba NBC premier league cup miaka miwili mfululizo inakuuma sana mtani, na mwaka huu utafura na kupasuka kwa hasira tunapojiandaa kubeba CAF champions league cup!utopolo ni vichaa wala mihogo.
Ni kweli Afcon imeletwa na Yanga kuipiga USM Algers kwao mechi ya fainali , ubishi hausaidii chochote! Pira GAMONDI nani halioni Dunia nzima hata waje Brazil, Real Madrid au Bayern wanakalishwa tu!
Hivi nani hajui wachezaji 12 wa Yanga wanacheza timu zao za Taifa including Mayele ( atarudi one day!), hivyo CAF wameona Tanzania Kuna hamasa kubwa ya boli!