Yanga waileta AFCON Africa mashariki

Yanga waileta AFCON Africa mashariki

utopolo ni vichaa wala mihogo.
Brother tuheshimiane basi japo kidogo, yani sisi Yanga kubeba NBC premier league cup miaka miwili mfululizo inakuuma sana mtani, na mwaka huu utafura na kupasuka kwa hasira tunapojiandaa kubeba CAF champions league cup!

Ni kweli Afcon imeletwa na Yanga kuipiga USM Algers kwao mechi ya fainali , ubishi hausaidii chochote! Pira GAMONDI nani halioni Dunia nzima hata waje Brazil, Real Madrid au Bayern wanakalishwa tu!

Hivi nani hajui wachezaji 12 wa Yanga wanacheza timu zao za Taifa including Mayele ( atarudi one day!), hivyo CAF wameona Tanzania Kuna hamasa kubwa ya boli!
 
Yan mtu hajui hata makundi ya champions league miaka 20+ halafu alete afcon [emoji23][emoji23]
 
Brother tuheshimiane basi japo kidogo, yani sisi Yanga kubeba NBC premier league cup miaka miwili mfululizo inakuuma sana mtani, na mwaka huu utafura na kupasuka kwa hasira tunapojiandaa kubeba CAF champions league cup!

Ni kweli Afcon imeletwa na Yanga kuipiga USM Algers kwao mechi ya fainali , ubishi hausaidii chochote! Pira GAMONDI nani halioni Dunia nzima hata waje Brazil, Real Madrid au Bayern wanakalishwa tu!

Hivi nani hajui wachezaji 12 wa Yanga wanacheza timu zao za Taifa including Mayele ( atarudi one day!), hivyo CAF wameona Tanzania Kuna hamasa kubwa ya boli!
Asipo kuelewa.....basi atasibitisha umbumbumbu
 
ni mafanikio ya Klabu ya Yanga kufika hatua fainali ya CAFCC na kuwa timu ya kwanza kucheza fainali za CAFCC na kuvaa medali ya CAF.

1695938714946.png
 
Shirikisho la kabumbu Afrika (CAF) limeyakubalia mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa michuano ya Afcon 2027

Ambapo Kwa uchambuzi wangu naona raisi wa Shirikisho la mpira barani Africa Motsepe amepigania sana hii nafasi kwa sababu 1 kwa Afrika Mashariki kuandaa michuano ya AFCON ni mafanikio ya Klabu ya Yanga kufika hatua fainali ya CAFCC na kuwa timu ya kwanza kucheza fainali za CAFCC na kuvaa medali ya CAF.

Maendeleo hayana Chama
Ahsanteni Wananchi
View attachment 2764694
Wenye akili wawili tuu

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom