Espoir_jnr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 489
- 1,934
Una hoja mkuuCAF wapo kibiashara zaidi.
Point yao kubwa ni huu uongezeko mkubwa wa wapenda mpira katika nchi za afrika mashariki hususani Tanzania.
Ukifuatilia namba wanazopata CAF kupitia mitandao ya kijamii wakiziposti hizi team za hapa kwetu sambamba na mahudhurio ya watu viwanjani ni makubwa sana ki msingi tuna "Mad Football fans" huku kwetu afrika mashariki hususani Tanzania.
Hakuna Sababu ya kwamba Team X ilifika fainali wala nini.
Mpira ni biashara kubwa sana na hili ndio lengo lao.
Hapana alitakiwa kuonyesha hiyo kazi kwenye mashindano madogo ili tupate nafasi mashindano makubwa.Ndo ujue Yanga kafanya kazi nzito
Kuna nchi Kama Nigeria timu zao hazifanyi vizuri lakini wakiomba nafasi wanapewa kipaumbele.Ndo ujue Yanga kafanya kazi nzito
Uko sahihi mkuu. Mleta mada asome na kuogeza kitu kwenye head yake. Maana alichokiandika ukimaliza kusoma badala kuchangia hoja, unaweza kumuuliza umri wake!CAF wapo kibiashara zaidi.
Point yao kubwa ni huu uongezeko mkubwa wa wapenda mpira katika nchi za afrika mashariki hususani Tanzania.
Ukifuatilia namba wanazopata CAF kupitia mitandao ya kijamii wakiziposti hizi team za hapa kwetu sambamba na mahudhurio ya watu viwanjani ni makubwa sana ki msingi tuna "Mad Football fans" huku kwetu afrika mashariki hususani Tanzania.
Hakuna Sababu ya kwamba Team X ilifika fainali wala nini.
Mpira ni biashara kubwa sana na hili ndio lengo lao.
Kwani hujui michuano ya mataifa ya Africa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120]