Yanga waileta AFCON Africa mashariki

utopolo ni vichaa wala mihogo.
Brother tuheshimiane basi japo kidogo, yani sisi Yanga kubeba NBC premier league cup miaka miwili mfululizo inakuuma sana mtani, na mwaka huu utafura na kupasuka kwa hasira tunapojiandaa kubeba CAF champions league cup!

Ni kweli Afcon imeletwa na Yanga kuipiga USM Algers kwao mechi ya fainali , ubishi hausaidii chochote! Pira GAMONDI nani halioni Dunia nzima hata waje Brazil, Real Madrid au Bayern wanakalishwa tu!

Hivi nani hajui wachezaji 12 wa Yanga wanacheza timu zao za Taifa including Mayele ( atarudi one day!), hivyo CAF wameona Tanzania Kuna hamasa kubwa ya boli!
 
Yan mtu hajui hata makundi ya champions league miaka 20+ halafu alete afcon [emoji23][emoji23]
 
Asipo kuelewa.....basi atasibitisha umbumbumbu
 
Wenye akili wawili tuu

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…