Tetesi: Yanga wajutia kuwapa mkataba Sead Ramovic na Moallin,waanza mazungumzo na Patrick Aussems aliyetimuliwa Singida Big Stars

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Wameyatimba,

Walimpa mkataba usiku usiku Moalin wa KMC na kuwa mkurugenzi wa ufundi, wakampa mkataba Said Ramo kuwakocha mkuu ,ndani ya muda mfupi Auasems au Uchebe anatimuliwa Singida Big Stars.

Waneanza mazungumzo nae,si ajabu mmoja wao akavunjiwa mkataba as soon as possible kumpisha uchebe
 
Yanga wanahitaji kumuajiri Minziro arudishe kwanza nidhamu katika timu. Timu itayumba kidogo na wahesabu msimu huu umeshapotea ila nidhamu ikisharudi ndiyo watafute kocha mwingine wa maana. Msipofanya hivyo YAS!

Ni ushauri kutoka kwa mtani.
 
Timu Aziz ni mchezaji, kocha na refa kuna timu hapo? Akiwa ndani hafungi goli akitoka anakaripia wenzie wafunge😄😄. Kile ni kikundi cha futuhi. Kama ulivyosema nidhamu irudi Kwanza kama walivyoacha kujidunga wacheze Mpira. Yanga INA wachezaji wazuri 😂
 
Moalini ni kocha msaidizi wa yanga au umeongea kimihemko?
 
Yanga wanahitaji kumuajiri Minziro arudishe kwanza nidhamu katika timu. Timu itayumba kidogo na wahesabu msimu huu umeshapotea ila nidhamu ikisharudi ndiyo watafute kocha mwingine wa maana. Msipofanya hivyo YAS!

Ni ushauri kutoka kwa mtani.
Nitaendelea kusema kwamba tatizo la Yanga kamwe halikuwa Gamond angalau wangewafyeka Ali Kamwe na Meneja wa timu. Sababu tatizo la Yanga ni wachezaji wenyewe.
Kuhusu huyu Kocha Saed, nikiangalia tu jinsi anavyokuwa na wale wachezaji, naona wanamuelemea, sioni mamlaka, ni kama anaogopa kuwaudhi wachezaji. Ingawa tatizo bado lipo kwa wachezaji.
 
Aziz anachekesha sana,anawafokea wenxake wafanye kile alichoshindwa yeye,kama sio kituko ni nini
 
Tatizo ni meneja,nidhamu hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…