Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Tatizo ni Utopolo ni uongozi wa juu kuokota okota wastaafu wetu na kutoka kwingine bila kumshirikisha kocha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema taratibu mana domo kwa kutembeza kichapo kambini hajambo na za chini chini wanadai anatumia mdomo wake kama silaha huwa anang'ata piaKumbe kweli, nikajua ni maneno ya mtandaoni tu.
Ishu ya Dube Day umeiongelea in negative perspective ungeongelea basi na in Positive perspective kama ilivyokuwa Pacome Day Yanga vs CR BelouzdadMeneja ameshindwa kusimamia nidhamu ya timu.
Harakati nyingi za Ali Kamwe nje ya uwanja na akelele yake na sifa zinazopelekea wachezaji kuimbwa watu hawaoni lakini hil pia linawagawa wachezaji.
Kazi ya kuwaimba wachezaji aiache ifanywe na mashabiki, siyo yeye.
Katika mechi na Wasudani ameitangaza kuwa ni 'dube day', hii inaingilia mipango ya benchi la ufundi, inashinikiza kwamba ni lazima ampange.
Tuliona jinsi Dube alivyokuwa chini, lakini benchi likashindwa kumtoa mwenye siku yake. Waliona ni bora wamtoe Max ambaye kiuhalisia alisaidia sana kupashika pale kati ambapo Mudathiri alijikuta akicheza kama mamba 8 badala ya 6
Iongelee wewe in that way mkuu, inawezekana una hoja na kwangu mimi 'Dube Fay' nimeitolea mfano, kihalsia maana Yangu kuitangaza siku kuwa ni ya mchezaji fulani hiyo ni kumshinikiza kocha kumpanga. Angalau kocha ndiye angekuwa anaamua hizo players day. Ukumbuke hata Gamondi aliwahi kuupinga utaratibu huoIshu ya Dube Day umeiongelea in negative perspective ungeongelea basi na in Positive perspective kama ilivyokuwa Pacome Day Yanga vs CR Belouzdad
Ila Aziz ananifurahishaga akiwa Bench, unaweza sema yeye ndo Kocha mkuu. LolTimu Aziz ni mchezaji, kocha na refa kuna timu hapo? Akiwa ndani hafungi goli akitoka anakaripia wenzie wafunge[emoji1][emoji1]. Kile ni kikundi cha futuhi. Kama ulivyosema nidhamu irudi Kwanza kama walivyoacha kujidunga wacheze Mpira. Yanga INA wachezaji wazuri [emoji23]