Tetesi: Yanga wajutia kuwapa mkataba Sead Ramovic na Moallin,waanza mazungumzo na Patrick Aussems aliyetimuliwa Singida Big Stars

Tetesi: Yanga wajutia kuwapa mkataba Sead Ramovic na Moallin,waanza mazungumzo na Patrick Aussems aliyetimuliwa Singida Big Stars

Tatizo ni Utopolo ni uongozi wa juu kuokota okota wastaafu wetu na kutoka kwingine bila kumshirikisha kocha
 
Meneja ameshindwa kusimamia nidhamu ya timu.
Harakati nyingi za Ali Kamwe nje ya uwanja na akelele yake na sifa zinazopelekea wachezaji kuimbwa watu hawaoni lakini hil pia linawagawa wachezaji.
Kazi ya kuwaimba wachezaji aiache ifanywe na mashabiki, siyo yeye.
Katika mechi na Wasudani ameitangaza kuwa ni 'dube day', hii inaingilia mipango ya benchi la ufundi, inashinikiza kwamba ni lazima ampange.
Tuliona jinsi Dube alivyokuwa chini, lakini benchi likashindwa kumtoa mwenye siku yake. Waliona ni bora wamtoe Max ambaye kiuhalisia alisaidia sana kupashika pale kati ambapo Mudathiri alijikuta akicheza kama mamba 8 badala ya 6
Ishu ya Dube Day umeiongelea in negative perspective ungeongelea basi na in Positive perspective kama ilivyokuwa Pacome Day Yanga vs CR Belouzdad
 
Ishu ya Dube Day umeiongelea in negative perspective ungeongelea basi na in Positive perspective kama ilivyokuwa Pacome Day Yanga vs CR Belouzdad
Iongelee wewe in that way mkuu, inawezekana una hoja na kwangu mimi 'Dube Fay' nimeitolea mfano, kihalsia maana Yangu kuitangaza siku kuwa ni ya mchezaji fulani hiyo ni kumshinikiza kocha kumpanga. Angalau kocha ndiye angekuwa anaamua hizo players day. Ukumbuke hata Gamondi aliwahi kuupinga utaratibu huo
 
Timu Aziz ni mchezaji, kocha na refa kuna timu hapo? Akiwa ndani hafungi goli akitoka anakaripia wenzie wafunge[emoji1][emoji1]. Kile ni kikundi cha futuhi. Kama ulivyosema nidhamu irudi Kwanza kama walivyoacha kujidunga wacheze Mpira. Yanga INA wachezaji wazuri [emoji23]
Ila Aziz ananifurahishaga akiwa Bench, unaweza sema yeye ndo Kocha mkuu. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila Aziz ananifurahishaga akiwa Bench, unaweza sema yeye ndo Kocha mkuu. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anaelekeza vilivyomshinda
 
Back
Top Bottom