Tetesi: Yanga wajutia kuwapa mkataba Sead Ramovic na Moallin,waanza mazungumzo na Patrick Aussems aliyetimuliwa Singida Big Stars

Tetesi: Yanga wajutia kuwapa mkataba Sead Ramovic na Moallin,waanza mazungumzo na Patrick Aussems aliyetimuliwa Singida Big Stars

Nitaendelea kusema kwamba tatizo la Yanga kamwe halikuwa Gamond angalau wangewafyeka Ali Kamwe na Meneja wa timu. Sababu tatizo la Yanga ni wachezaji wenyewe.
Kuhusu huyu Kocha Saed, nikiangalia tu jinsi anavyokuwa na wale wachezaji, naona wanamuelemea, sioni mamlaka, ni kama anaogopa kuwaudhi wachezaji. Ingawa tatizo bado lipo kwa wachezaji.
Mkuu ushasema tatzo ni wachezaji, sasa Ali kamwe na meneja mbona unataka wafyekwe tena?
 
Mkuu ushasema tatzo ni wachezaji, sasa Ali kamwe na meneja mbona unataka wafyekwe tena?
Meneja ameshindwa kusimamia nidhamu ya timu.
Harakati nyingi za Ali Kamwe nje ya uwanja na akelele yake na sifa zinazopelekea wachezaji kuimbwa watu hawaoni lakini hil pia linawagawa wachezaji.
Kazi ya kuwaimba wachezaji aiache ifanywe na mashabiki, siyo yeye.
Katika mechi na Wasudani ameitangaza kuwa ni 'dube day', hii inaingilia mipango ya benchi la ufundi, inashinikiza kwamba ni lazima ampange.
Tuliona jinsi Dube alivyokuwa chini, lakini benchi likashindwa kumtoa mwenye siku yake. Waliona ni bora wamtoe Max ambaye kiuhalisia alisaidia sana kupashika pale kati ambapo Mudathiri alijikuta akicheza kama mamba 8 badala ya 6
 
Yanga wanahitaji kumuajiri Minziro arudishe kwanza nidhamu katika timu. Timu itayumba kidogo na wahesabu msimu huu umeshapotea ila nidhamu ikisharudi ndiyo watafute kocha mwingine wa maana. Msipofanya hivyo YAS!

Ni ushauri kutoka kwa mtani.
Msimu huu umepoteaje? Haya ndio maajabu
 
Kwakweli hii ni Mixx ya YAS!!!!

Au nasema uongo jamani...JPM

Yanga wanahitaji kumuajiri Minziro arudishe kwanza nidhamu katika timu. Timu itayumba kidogo na wahesabu msimu huu umeshapotea ila nidhamu ikisharudi ndiyo watafute kocha mwingine wa maana. Msipofanya hivyo YAS!

Ni ushauri kutoka kwa mtani.
 
Mhm...yaani hii story mbona. Huyo mwenye singida aliyemfukuza uchebe sii ni board member wa yanga atakubali kweli
 
Yanga wanahitaji kumuajiri Minziro arudishe kwanza nidhamu katika timu. Timu itayumba kidogo na wahesabu msimu huu umeshapotea ila nidhamu ikisharudi ndiyo watafute kocha mwingine wa maana. Msipofanya hivyo YAS!

Ni ushauri kutoka kwa mtani.
Minziro mchukueni ninyi atawafaa.
 
Back
Top Bottom