Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na nyuzi nyingi za kuwaaminisha watu kuwa Yanga ni timu dhaifu na kuwa ilishiriki kombe la Luza na hawataambulia chochote msimu huu.
Mashabiki wa Makolo wanajaribu kutembea na historia kuliko uhalisia. Wanashindwa kuamini kabisa kuwa timu yao Kwa sasa haiwezi kufikia ubora wa Yanga Kwa usajili maridhawa na wa kiufundi.
Kama inavyosemwa siku zote hii Yanga Kwa usajili mzuri wa hii miaka mitatu na kutobembeleza wachezaji itaandika historia mpya Africa msimu huu Kwa kufika fainali ya klabu bingwa Africa. Wazee wa Avic town tukae mkao wa kula.