ukiondoa maxi, simba wana viungo na wafungaji bora kuliko hata yanga. kuna siku watawashangaza.Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na nyuzi nyingi za kuwaaminisha watu kuwa Yanga ni timu dhaifu na kuwa ilishiriki kombe la Luza na hawataambulia chochote msimu huu.
Mashabiki wa Makolo wanajaribu kutembea na historia kuliko uhalisia. Wanashindwa kuamini kabisa kuwa timu yao Kwa sasa haiwezi kufikia ubora wa Yanga Kwa usajili maridhawa na wa kiufundi.
Kama inavyosemwa siku zote hii Yanga Kwa usajili mzuri wa hii miaka mitatu na kutobembeleza wachezaji itaandika historia mpya Africa msimu huu Kwa kufika fainali ya klabu bingwa Africa. Wazee wa Avic town tukae mkao wa kula.
Tunasubiri kushangazwaukiondoa maxi, simba wana viungo na wafungaji bora kuliko hata yanga. kuna siku watawashangaza.
Yaani kwa kuwa imeifunga Al Merrikh, au kuna kingine?itaandika historia mpya Africa msimu huu Kwa kufika fainali ya klabu bingwa Africa. Wazee wa Avic town tukae mkao wa kula.
Nazungumzia mwendelezo wa ubora wa timuYaani kwa kuwa imeifunga Al Merrikh, au kuna kingine?
Labda mtoe bahasha kwa refa apunguze wachezaji wa Yanga kwa kadi nyekundu wabakie 8 uwanjani, lakini kama ni 11 kwa 11 hizo ni ndoto za mchanaukiondoa maxi, simba wana viungo na wafungaji bora kuliko hata yanga. kuna siku watawashangaza.
Hakuna mtu aliyesema merreikh bonge la timu acha uongoTuliwaambia waseme mapema kama El Merikh ni wabovu au lah. Wakasema hiyo ni bonge la timu
Kwa timu hii kuna siku watu watasema Al Ahly ya misri ni wabovuTuliwaambia waseme mapema kama El Merikh ni wabovu au lah. Wakasema hiyo ni bonge la timu
Kwa hiyo Yanga kamfunga kibonde au sio.Hakuna mtu aliyesema merreikh bonge la timu acha uongo
Huyo alipigwa na simba nabi akafukuzwaKwa hiyo Yanga kamfunga kibonde au sio.
Kushangazwa na anguko la Simba ila sio vinginevyo!ukiondoa maxi, simba wana viungo na wafungaji bora kuliko hata yanga. kuna siku watawashangaza.
Yanga malengo ni kufika fainali ya caf cl , Kama aliyefungwa na yanga amechukua ubingwa kutoka timu namba Moja Africa Al ahly yote inawezekana .Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na nyuzi nyingi za kuwaaminisha watu kuwa Yanga ni timu dhaifu na kuwa ilishiriki kombe la Luza na hawataambulia chochote msimu huu.
Mashabiki wa Makolo wanajaribu kutembea na historia kuliko uhalisia. Wanashindwa kuamini kabisa kuwa timu yao Kwa sasa haiwezi kufikia ubora wa Yanga Kwa usajili maridhawa na wa kiufundi.
Kama inavyosemwa siku zote hii Yanga Kwa usajili mzuri wa hii miaka mitatu na kutobembeleza wachezaji itaandika historia mpya Africa msimu huu Kwa kufika fainali ya klabu bingwa Africa. Wazee wa Avic town tukae mkao wa kula.
Kwani msimu huu Simba na Yanga hazijakutana kabisa?Labda mtoe bahasha kwa refa apunguze wachezaji wa Yanga kwa kadi nyekundu wabakie 8 uwanjani, lakini kama ni 11 kwa 11 hizo ni ndoto za mchana
Mambumbumbu hayo yanatapatapa.Ndiyo hawa hawa misimu miwili iliyopita walikuwa wanatucheka eti tumesajili bendi ya wacheza dansi kutoka Congo! Halafu mwisho wa siku wakaambulia maumivu kutoka kwa wacheza dansi hao hao.
Sawa ila kumbuka mnyama tayari ana ngao ya jamii..Ndiyo hawa hawa misimu miwili iliyopita walikuwa wanatucheka eti tumesajili bendi ya wacheza dansi kutoka Congo! Halafu mwisho wa siku wakaambulia maumivu kutoka kwa wacheza dansi hao hao.