Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hivi El Merikh VS Simba mzunguko wake utakuwepo maana mimi sijui mambo ya mipira lengo ni kumjua nani zaifu kati ya hawa wawiliTuliwaambia waseme mapema kama El Merikh ni wabovu au lah. Wakasema hiyo ni bonge la timu
Hujui mpira wewe yani Yanga ina Max tu?Pacome pale Yanga anacheza kama nan?Aziz k anacheza kama nan?ukiondoa maxi, simba wana viungo na wafungaji bora kuliko hata yanga. kuna siku watawashangaza.
Ikifika hiyo siku NBCPL imeemdaukiondoa maxi, simba wana viungo na wafungaji bora kuliko hata yanga. kuna siku watawashangaza.
Hii nayo ni ya kujivunia kweli!!!Sawa ila kumbuka mnyama tayari ana ngao ya jamii..
Alipopigwa na Simba hakuwa kibonde ila alipofungwa na Yanga ndiyo kibonde?Huyo alipigwa na simba nabi akafukuzwa
[emoji382][emoji1732][emoji28]Ndiyo hawa hawa misimu miwili iliyopita walikuwa wanatucheka eti tumesajili bendi ya wacheza dansi kutoka Congo! Halafu mwisho wa siku wakaambulia maumivu kutoka kwa wacheza dansi hao hao.
Makolokolo walishinda goli ngapi dhidi ya Yanga mechi ya mwisho?Kwani msimu huu Simba na Yanga hazijakutana kabisa?
Misimu miwili iliyopita si msimu huu, tena kwa mbeleko ya kuwakatalia Yanga goli halali kabisa.Sawa ila kumbuka mnyama tayari ana ngao ya jamii..
Sometimes you never know what kind of the business is driven behind the scenes, so wake up your upstairs Guy.Kila mara napingana na hizo tour za Simba Uturuki, hazijawahi zaa matunda.
Upotevu wa pesa
Hapana, ilimfunga bingwa wa super cup kule kwao Algeria.Kwa sababu wamewafunga wakimbizi au!
Hivi mashabiki wa Vyura huna mnazo kweli huyo unayemtaja Simba alishamkarisha mara mbili ndani ya miaka 3 hata kumbu kumbu bado ni mbichi kwenye computer aspect kuna term mbili maarufu ROM & RAM ww kwenye ubongo wako unatumia aina gani Kati ya hizo mbili katika kukumbuka mambo.Kwa timu hii kuna siku watu watasema Al Ahly ya misri ni wabovu
Saa hii wamegeuza gia angani.Tuliwaambia waseme mapema kama El Merikh ni wabovu au lah. Wakasema hiyo ni bonge la timu
Kuna mchezaji yeyote wa Ligi ya Bongo anamfilia PACOME???ukiondoa maxi, simba wana viungo na wafungaji bora kuliko hata yanga. kuna siku watawashangaza.
Ngoja nimcheki kibu Denga anikumbusheMakolokolo walishinda goli ngapi dhidi ya Yanga mechi ya mwisho?
3-1Makolokolo walishinda goli ngapi dhidi ya Yanga mechi ya mwisho?
Hahahahaaa kweli nyani haoni kunduleMisimu miwili iliyopita si msimu huu, tena kwa mbeleko ya kuwakatalia Yanga goli halali kabisa.
Mbumbumbu wewe, cc Aden Rage...[emoji142]