Yanga atashinda sawa lakin hafuzu kuingia makundisina mengi ,
Tayari tarehe mbili Imefika naamini Kabisa Ile Nguvu Yanga wanayotumia wakikutana na Simba,
Wakiitumia angalau nusu yake tu basi wanaingia makundi!
Kama Kuna ahadi , au mambo yanafanyika yanga inapoelekea kucheza na simba basi yakifanyika nusu yake tu,
Game inaisha Kwa mkapa!
Ingawa naamini Kabisa mechi kubwa Kwa Yanga ni kucheza na simba tu!
Sidhani kama huku kimataifa watatia bidii
Kwanza hili ni Kombe la LOSERS sio Ndio?
Mgongwe tuu [emoji38]
Uko kwenye uongozi kujua malengo ya klabu Fulani?Malengo ya yanga na azam ni kuifunga simba.
Ktk hilo wameshafanikiwa ila huko kimataifa hawana tofauti na mwenge unaoangaza vijijini tu na kamwe hata burundi mipakani hauwezi fika
Lengo ni kumfunga yoyote tunae kutana nae akiwemo SimbaMalengo ya yanga na azam ni kuifunga simba.
Ktk hilo wameshafanikiwa ila huko kimataifa hawana tofauti na mwenge unaoangaza vijijini tu na kamwe hata burundi mipakani hauwezi fika
Mliyefanikiwa ni Simba tu ila huko nje 24 years mnachungulia tu na kutoka kama mlivyoingiaLengo ni kumfunga yoyote tunae kutana nae akiwemo Simba