VIDEO: Yanga wamewafuata Simba huko Bunju Mo Arena ili mechi ipigwe dabi ya Kariakoo

VIDEO: Yanga wamewafuata Simba huko Bunju Mo Arena ili mechi ipigwe dabi ya Kariakoo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Klabu ya Yanga iliwafuata wapinzani wao wa jadi, Simba SC, huko Bunju kwa ajili ya kuhakikisha mechi yao inachezwa.

Hata hivyo, badala ya msafara mzito, ni dereva na watu wachache tu waliofika Mo Arena kisha kupiga honi na kuondoka






 
Ujinga ujinga ndio kitu watanzania wanaweza, upuuzi wa hivi vilabu viwili ndio maana hadi leo hawana viwanja vyao. Haya ndio mazingira ya uwanja wa Simba wa mazoezi?
 
🤣 bado tunampenda my wetu tumehamu kumdusua maana alikuwa anapiga sana kelele mara masindano fc, mara hongahonga fc, haribu ligi fc walisema mengi ajabu kumbe hata kutuface hataki!.
we only need just one kiss from her!.. 😁
 
Mbona uwanja ni kama kichaka vile...
 
Dah huo ndio uwanja wa timu kubwa kama simba?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣sema hawa watu wanajuana, sisi mashabiki ndiyo tunateseka eti
 
Ni sawa na umekula viagra kitu kimedisa na mbunye hakuna lazma upepesuke!
 
Back
Top Bottom