Yanga walilikoroga na hapo lazima walinywe hakuna kumwaga!

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,542
Reaction score
1,583
1) TFF anawatoto wengi hapa nchini pamoja na Yanga, hivyo Yanga anatakiwa amtii baba yake!
2) TFF lazima ioneshe uimara katika swala hili, wanatakiwa wazingatie Sheria wasipotokea uwanjani Sheria ifwatwe!
3) Nilichogundua viongozi wa Yanga wanapelekeshwa kwa Hisia na sio uhalisia!
4) Sasa wanaona Aibu baada baada ya kushindwa Kesi , hivyo washindwa Cha kufanya baada ya kumdharau mzazi
5) Engineer anazidi kujiharibia CV yake, yaan kichwani huyu ndugu hamna kitu!
6) Simba wasibweteke hawajakaa siku ya mwisho wataingia uwanjani!
7) Hasira ya Yanga na viongozi wake ni Simba kuingia fainali.... Na isitokee Simba wakatwaa kombe Kuna watu Yanga watajiuzuru
8) Mwisho kuna kunautofauti mkubwa sana kati ya Mo Dewji na GSM!

Mo ana Fanya vitu kwa mipango sana( planning) ndomana kaenda robo fainali maranne mfululizo ILA Yanga wanafanya vitu kwa Hisia, hamna mipango, wapo tayari kutumia fedha, rushwa ili wafanikiwe, Hawa ni watu wasiofikiri kwa kina!
 
Nimependa uchambuzi huu hasa viongozi wa yanga kuongozwa na hisia,huu ndiyo ukweli
 
Yanga ni mtoto wa CCM sio TFF mkuu,
 
Tujikumbushe kidogo maana binadamu tumeumbwa kusahau
 
Attachments

  • Screenshot_20250506-165758.jpg
    Screenshot_20250506-165758.jpg
    196.6 KB · Views: 24
  • Facebook Video _y1141880924330857_1746548219392.mp4
    4.4 MB
  • Facebook Video _y1141880924330857_1746548219392.mp4
    4.4 MB
1) TFF anawatoto wengi hapa nchini pamoja na Yanga, hivyo Yanga anatakiwa amtii baba yake!
2) TFF lazima ioneshe uimara katika swala hili, wanatakiwa wazingatie Sheria wasipotokea uwanjani Sheria ifwatwe!
3) Nilichogundua viongozi wa Yanga wanapelekeshwa kwa Hisia na sio uhalisia!
4) Sasa wanaona Aibu baada baada ya kushindwa Kesi , hivyo washindwa Cha kufanya baada ya kumdharau mzazi
5) Engineer anazidi kujiharibia CV yake, yaan kichwani huyu ndugu hamna kitu!
6) Simba wasibweteke hawajakaa siku ya mwisho wataingia uwanjani!
7) Hasira ya Yanga na viongozi wake ni Simba kuingia fainali.... Na isitokee Simba wakatwaa kombe Kuna watu Yanga watajiuzuru
8) Mwisho kuna kunautofauti mkubwa sana kati ya Mo Dewji na GSM!

Mo ana Fanya vitu kwa mipango sana( planning) ndomana kaenda robo fainali maranne mfululizo ILA Yanga wanafanya vitu kwa Hisia, hamna mipango, wapo tayari kutumia fedha, rushwa ili wafanikiwe, Hawa ni watu wasiofikiri kwa kina!
Hawana mipango na malengo madhubuti. Wanafanya mambo yao kwa namna tatu
1. Kushindana na Simba
2. Kujilinganisha na Simba
3. Kuwapa furaha feki mashabiki
 
Kweli wewe ni Mbumbumbu FC, kwanini nyie hamkumtii Baba yenu mkakimbia Tarehe 8?
 
We usie na akili utopolo sikiliza.

Tarehe 8 March Bodi ya Ligi waliahirisha mechi. Badala yake kukawa na Sinema na maigizo ya Utopolo. Jumuiko la wasio na akili, mazwazwa.

Ulitaka Simba akashiriki Bonanza la wasio na akili?😎😎

Kuna uongozi wa TFF ulikuwepo hapo?
Kuna waamuzi walikuwepo hapo?
Kuna ........nk, nk, nk za Tff hapo?

Hebu msituchoshe na Utapia mlo wenu wa akili utopolo nyie🤣😂
 
Unawalaumu bure, Wanapenda mihemko sababu wanawajua mashabiki wao.

Mfano kesi ya Fei, viongozi wamemsumbua weee kuwa hana nidhamu wala heshima ya mikataba, wakataka mpaka waue kipaji akae benchi tu na mashabiki wakaimba nyimbo za kusifu na kuabudu kusapoti hilo, hao hao viongozi wakimtaka msimu ujao mashabiki watawashangilia kweli kweli. Sasa unashangiliwa na watu wa aina hii unadhani utaongoza kwa mtindo upi?
 
Hamna jipya acheni maneno mengi, kwa kifupi mlikimbia kichapo.
 
Unaendeshwa na mihemko mshindo!!, Hebu tueleze chanzo cha tatizo mpaka mechi ikahairishi hiyo trh 8, ni kanuni ipi iliyotumika kuahirisha mechi na utaratibu wa kuhairisha mechi upoje kikanuni?. Bodi ya ligi walitoa sababu za kuhairishwa mechi za ajabu ambazo kimsingi watu walitegemea baada kusema wanafanya uchunguzi wangekuja na majibu dhidi ya walichokuwa wanakichunguza, mfano walisema kulikuwa na viashiria vya rushwa je wamesema nani anahusika na tuhuma hizo za rushwa?, Kama ni yanga Kwanini hapewi adhabu?, Wanasema kulikuwa na viashiria vya uvunjifu wa AMANI je nani aliyesababisha kutokuwa na Amani siku hiyo? Amechukuliwa hatua gani?.

Bodi ya ligi hawajui utaratibu unaotakiwa kufuatwa ILI kuhairishwa kwa mechi?, Kwamba unatoka from ununio masaa 3 kabla ya mechi unatangaza tu mechi imehairisha?. Wtz tuna shida ya mihemko na ushabiki wa kijinga usio na tija na Taifa, KWA mtu mwenye akili timamu hawezi kudandia huu upuuzi uliofanywa na Bodi ya ligi ni utoto na ujinga wa kiwango cha mwisho KABISA!.
Watu wanataka kabla ya kupangwa ratiba nyingine Bodi ya ligi walitakiwa waje na matokeo yakilichotokea trh 8. Waliokuwa na kosa na kupelekea mechi kuvurugika wawajibishwe kikanuni na vinginevyo.

Hizo nguvu mnazotumia kulaumu yanga mngetumia kushinikiza TFF waje na nini kilitokea tarehe 8 na nani ana kosa naamini tusingefika hapa kwenye huu utoto!. Yaani mnataka yanga acheze trh 15 kwa majibu gani waliyoyatoa Bodi ya ligi kuhusu trh 8?.

UONGOZI WA YANGA SHIKIRIENI HAPOHAPO AFU TUONE HIZO KANUNI WATAKAZOTUMIA TFF KUIPA SIMBA USHINDI WALISHINDWA NINI KUWAPA YANGA USHINDI!.
 
Unawalaumu bure, Wanapenda mihemko sababu wanawajua mashabiki wao.

Mfano kesi ya Fei, viongozi wamemsumbua weee kuwa hana nidhamu wala heshima ya mikataba, wakataka mpaka waue kipaji akae benchi tu na mashabiki wakaimba nyimbo za kusifu na kuabudu kusapoti hilo, hao hao viongozi wakimtaka msimu ujao mashabiki watawashangilia kweli kweli. Sasa unashangiliwa na watu wa aina hii unadhani utaongoza kwa mtindo upi?
Manara aliwatukana weeeeeeee

Kajiunga nao, wala hajaomba radhi, wakamkubali
 
Unaendeshwa na mihemko mshindo!!, Hebu tueleze chanzo cha tatizo mpaka mechi ikahairishi hiyo trh 8, ni kanuni ipi iliyotumika kuahirisha mechi na utaratibu wa kuhairisha mechi upoje kikanuni?. Bodi ya ligi walitoa sababu za kuhairishwa mechi za ajabu ambazo kimsingi watu walitegemea baada kusema wanafanya uchunguzi wangekuja na majibu dhidi ya walichokuwa wanakichunguza, mfano walisema kulikuwa na viashiria vya rushwa je wamesema nani anahusika na tuhuma hizo za rushwa?, Kama ni yanga Kwanini hapewi adhabu?, Wanasema kulikuwa na viashiria vya uvunjifu wa AMANI je nani aliyesababisha kutokuwa na Amani siku hiyo? Amechukuliwa hatua gani?.

Bodi ya ligi hawajui utaratibu unaotakiwa kufuatwa ILI kuhairishwa kwa mechi?, Kwamba unatoka from ununio masaa 3 kabla ya mechi unatangaza tu mechi imehairisha?. Wtz tuna shida ya mihemko na ushabiki wa kijinga usio na tija na Taifa, KWA mtu mwenye akili timamu hawezi kudandia huu upuuzi uliofanywa na Bodi ya ligi ni utoto na ujinga wa kiwango cha mwisho KABISA!.
Watu wanataka kabla ya kupangwa ratiba nyingine Bodi ya ligi walitakiwa waje na matokeo yakilichotokea trh 8. Waliokuwa na kosa na kupelekea mechi kuvurugika wawajibishwe kikanuni na vinginevyo.

Hizo nguvu mnazotumia kulaumu yanga mngetumia kushinikiza TFF waje na nini kilitokea tarehe 8 na nani ana kosa naamini tusingefika hapa kwenye huu utoto!. Yaani mnataka yanga acheze trh 15 kwa majibu gani waliyoyatoa Bodi ya ligi kuhusu trh 8?.

UONGOZI WA YANGA SHIKIRIENI HAPOHAPO AFU TUONE HIZO KANUNI WATAKAZOTUMIA TFF KUIPA SIMBA USHINDI WALISHINDWA NINI KUWAPA YANGA USHINDI!.
Siku hiyo mtapigwa goli tatu na point 3 ndio mtaielewa kanuni inayowapa Simba point 3 na iliyowanyima Utopolo
 
Manara aliwatukana weeeeeeee

Kajiunga nao, wala hajaomba radhi, wakamkubali
Amekaa akawaza hivi mbona kama pale kuna pesa? Sasa hivu anakula hela tu huku akishangiliwa.
 
Siku hiyo mtapigwa goli tatu na point 3 ndio mtaielewa kanuni inayowapa Simba point 3 na iliyowanyima Utopolo
Una funza kichwani!!, Unaletea opinions dhidi ya facts!!. Punguzeni mihemko AFU HILI saga ni la Tff na Yanga nyie linaumiza wapi?. Nyie simlipewa barua ya mechi kuhairishwa? Tulieni wenye mamlaka wapambane na Yanga .... Mnakuwq kama madem wa kitambaa cheupe kyuma zao zipo vidoleni.
 
1) TFF anawatoto wengi hapa nchini pamoja na Yanga, hivyo Yanga anatakiwa amtii baba yake!
2) TFF lazima ioneshe uimara katika swala hili, wanatakiwa wazingatie Sheria wasipotokea uwanjani Sheria ifwatwe!
3) Nilichogundua viongozi wa Yanga wanapelekeshwa kwa Hisia na sio uhalisia!
4) Sasa wanaona Aibu baada baada ya kushindwa Kesi , hivyo washindwa Cha kufanya baada ya kumdharau mzazi
5) Engineer anazidi kujiharibia CV yake, yaan kichwani huyu ndugu hamna kitu!
6) Simba wasibweteke hawajakaa siku ya mwisho wataingia uwanjani!
7) Hasira ya Yanga na viongozi wake ni Simba kuingia fainali.... Na isitokee Simba wakatwaa kombe Kuna watu Yanga watajiuzuru
8) Mwisho kuna kunautofauti mkubwa sana kati ya Mo Dewji na GSM!

Mo ana Fanya vitu kwa mipango sana( planning) ndomana kaenda robo fainali maranne mfululizo ILA Yanga wanafanya vitu kwa Hisia, hamna mipango, wapo tayari kutumia fedha, rushwa ili wafanikiwe, Hawa ni watu wasiofikiri kwa kina!
So hizo sheria ndio zianze kutumia June 15,ila April nane kulikuwa hamna sheria. Kwani kuingia fainali nyie ndio wa kwanza? Si juzi tu hapa Yanga kacheza fainali.
 
We usie na akili utopolo sikiliza.

Tarehe 8 March Bodi ya Ligi waliahirisha mechi. Badala yake kukawa na Sinema na maigizo ya Utopolo. Jumuiko la wasio na akili, mazwazwa.

Ulitaka Simba akashiriki Bonanza la wasio na akili?😎😎

Kuna uongozi wa TFF ulikuwepo hapo?
Kuna waamuzi walikuwepo hapo?
Kuna ........nk, nk, nk za Tff hapo?

Hebu msituchoshe na Utapia mlo wenu wa akili utopolo nyie🤣😂
Nini hasa ilikuwa sababu ya kuhairishwa kwa mechi mkuu?
 
Kuna shabiki wa Yanga alipangiwa kituo cha kazi TRA Kigoma akaamua aache kazi ili aendelee kupata nafasi ya kwenda klabuni pale jangwani kila siku kuongelea habari za Yanga. Ukipita pale utaona kuna watu wamekaa nje ya jengo wanapiga stori za Yanga.
 
We usie na akili utopolo sikiliza.

Tarehe 8 March Bodi ya Ligi waliahirisha mechi. Badala yake kukawa na Sinema na maigizo ya Utopolo. Jumuiko la wasio na akili, mazwazwa.

Ulitaka Simba akashiriki Bonanza la wasio na akili?😎😎

Kuna uongozi wa TFF ulikuwepo hapo?
Kuna waamuzi walikuwepo hapo?
Kuna ........nk, nk, nk za Tff hapo?

Hebu msituchoshe na Utapia mlo wenu wa akili utopolo nyie🤣😂
we bure kabisa
 
Back
Top Bottom