Sheria za kazi unazifahamu au?. Na haswa kwa wagen?Sio wamemteua Senzo, Senzo anaenda TFF kwa mujibu wa nafasi yake kama mtendaji mkuu wa Yanga. Ni vema pia ijulikane kuwa Senzo hawezi kugeuza mkataba wa Morrison na Simba kama ni halali, pia hawezi kugeuza mkataba wa Yanga kuwa halali ikiwa ulikuwa feki.
Yanga wanaitwa TFF kwa kuwa wao wanalalamikiwa na Morrison, na kisheria huwezi kutoa hukumu bila kumsikiliza mtuhumiwa.
Vv
Vv
Kwisha habari yao Mikia na wale Waswahili wawili Manara na Muddy.
Senzo atauanika utapeli wa MO
Hapa suala ni Yanga kuwakikishwa na Senzo, sio sheria wala vibali vya kufanya kazi nchini. Hilo ndio nililotolea hoja.Sheria za kazi unazifahamu au?. Na haswa kwa wagen?
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app