KUCH KUCH
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 1,327
- 966
Sheria za kazi unazifahamu au?. Na haswa kwa wagen?Sio wamemteua Senzo, Senzo anaenda TFF kwa mujibu wa nafasi yake kama mtendaji mkuu wa Yanga. Ni vema pia ijulikane kuwa Senzo hawezi kugeuza mkataba wa Morrison na Simba kama ni halali, pia hawezi kugeuza mkataba wa Yanga kuwa halali ikiwa ulikuwa feki.
Yanga wanaitwa TFF kwa kuwa wao wanalalamikiwa na Morrison, na kisheria huwezi kutoa hukumu bila kumsikiliza mtuhumiwa.
Vv
Vv
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app