Yanga wameliingiza jina la Morison katika mfumo wa usajili

Usijifanye mjuaji ndo shida ya wabongo hii mpaka ya huko FIFA unayajua kwamba wataamua nini.?

Acha FIFA waamue tujue mbivu na mbichi hatuwezi kutapeliwa kizembe

Hujajibu swali
Kama ingekuwa hivyo alivyowaza huyo Mkuu uliyemjibu basi kusingekuwa na fursa ya kukata rufaa.
 
Walipeleka ile mwanzo kwa mkataba ule wa miezi 6 sasa umeshaexpire na wanao upload majina ni Tff hivyo hoja ya Yanga haina mashiko wanawatuliza wana utupolo, ilihali jina la wakili msomi wa uwanjani Morrison jina simba imeshalipeleka....

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Turudi ktk mada mkuu, shida hasa ya jamaa Morison ni ipi? Na je Yanga wapo sahihi kuandika hili jina huko Fifa?
nilisema anaudhi kutokana na post niliyo quote yenye post ya BM akisema wanajisumbua. All in all Yanga wanapoteza muda wa bure. Wangeendelea na maisha yao wakamuacha BM akaendelea na maisha yake. Bahati nzuri hakuna aliyeliwa hela,BM alishema alimtaka manager wa CBA arudishe hela kwa aliyeingiza kwenye akaunt yeye hazitambui
 

Yale MAJIBU ya point 3 za KAGERA mlishayapata?
 
Siyo wameliingiza,
Kwani lilikuwa halipo,sema jina lake bado lipo huko
 
Eti mtani Shadeeya hivi unamwelewa mwenyekiti wenu porofeza mshindo msolla Kwenye hili???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…