All problems kwa Bi Mkubwa. Angekuwa JPM angepiga simu laivu papohapo uwanjani. ^Sikia, wananchi wametoa pesa zao, muda na nguvu kuja kuwashangilia na kupata burudani. Sasa lazima mechi ichezwe kwa muda uliopangwa. Otherwise, chagueni kuwarudishia pesa zao na kuwafidia KIKAMILIFU mali, muda na usumbufu mliowasababishia --- mpaka na yule shabiki aliyekimbia kwa miguu kutoka Kigoma, tena akaugua tumbo Morogoro kwa sababu yenu!!!^ ~ In JPM's stentorian voice.
Sijajua wanasheria wako wapi!??? Kwa nini wasiwafungulie hawa mabwanyenye kesi ya uhujumu uchumi!??? Na ulaghai!??? Kazi yao kuwatetea wezi tuuu, siyo!??? Siku zenu zinahesabika!!!