Yanga wameonesha ubinafsi na ukosefu wa ustaarabu wa hali ya juu sana

Yanga wameonesha ubinafsi na ukosefu wa ustaarabu wa hali ya juu sana

Kanuni ya Ustaraabu, busara na hekima. Hivyo fikiria yule shabiki wa Yanga aliyetoka Kigoma kwa miguu halafu asione kilichomleta?
KANUNI ZILEZILE ZINAZOTUMIKA KUWAFUNGIA VIONGOZI WA YANGA NDIZO HIZOHIZO WALIZOTUMIA YANGA KUTOCHEZA MCHEZO ULE.
 
All problems kwa Bi Mkubwa. Angekuwa JPM angepiga simu laivu papohapo uwanjani. ^Sikia, wananchi wametoa pesa zao, muda na nguvu kuja kuwashangilia na kupata burudani. Sasa lazima mechi ichezwe kwa muda uliopangwa. Otherwise, chagueni kuwarudishia pesa zao na kuwafidia KIKAMILIFU mali, muda na usumbufu mliowasababishia --- mpaka na yule shabiki aliyekimbia kwa miguu kutoka Kigoma, tena akaugua tumbo Morogoro kwa sababu yenu!!!^ ~ In JPM's stentorian voice.

Sijajua wanasheria wako wapi!? Kwanini wasiwafungulie hawa mabwanyenye kesi ya uhujumu uchumi!? Na ulaghai? Kazi yao kuwatetea wezi tuuu, siyo! Siku zenu zinahesabika!
Hatotokea tena kama JPM nchi hii..wanatokeaga mara1 tu hao
 
Naomba nijibu hapa TFF walitumia kanuni gani kuipeleka Namungo kucheza African confederation cup?
 
Yanga hawako sahihi. Tuzingatie sheria, kanuni, taratibu na busara nayo itumike. Hata huko mahakamani busara huwa zinatumika.
Busara hizohizo zingetumika kuwapiga faini na kuwafungia viongozi wa Yanga sasa. Manara amatukana kila siku hakuna faini wala kufungiwa, dismas Ten kafanya ishu ndogo kapigwa faini kubwa nk nk. Yanga wamemwanga ugali sasa.
 
Mshaambiwa Mama Samia nae alitaka kuja uwanjani kuona mpira na kuzindua kitabu cha Rais mstaafu.

Mama alikuwa anasubiri mida ya kufturu kisha aje uwanjani hivyo mahusiano mabaya ya viongozi wa Yanga na TFF ndio yamesababisha kukosekana kwa Busara.

Hasira za Viongozi wa Yanga zilianzia kwenye inshu ya Bernad Morson hadi kufungiwa kwa Afisa Habari na Makamu mwenyekiti Mwakalebela hivyo jana walivyoona kanuni imeumana wakakinukisha.

Walioumia ni mashabiki ambao wameshinda uwanjani tangu asubuhi na kupoteza fedha zao za nauli na kiingilio.
Wewe nani amekupa hiyo TAARIFA? MBONA HAO SIMBA NA YANGA WENYEWE HAWAJUI?
 
HAO wametupa faida Simba.
Tungecheza nao wangeweza hata kuwaumiza wachezaji wetu muhimu.
Kanuni ya Ustaraabu, busara na hekima. Hivyo fikiria yule shabiki wa Yanga aliyetoka Kigoma kwa miguu halafu asione kilichomleta?
 
Wanaounga mkono yanga sport club wengi wao niwale wapinga serikali.
Nimarangapi mechi zilikua zikisogezwa mbele na bado haohao yanga walikua wanacheza hawakua wanakijua hicho kifungu cha sheria
Yanga wametukosea Sana sisi mashabiki wa mpira wa miguu kwakua sisi mashabiki tulikua tumeridhika kusubiri mechi hiyo ndio maana hatukutoka uwanjani.
Sawa yanga wanajificha kwenye kifungu cha sheria kuikoma TFF na Serikali huku wakijua hawawezi kushushwa daraja kwakua ni club kubwa ila wametukosea Sana wapenzi wa mpira wa miguu.
 
Huna akili, TFF wanapoihukumu yanga kwa kigezo cha kanuni uliwahi kuropoka haya.
Mnaongea kama maneno yanatoka matakoni hivi. KANUNI ZINAZOTUMIKA KUWAFUNGIA VIONGOZI WA YANGA NDIZO HIZOHIZO ZIMETUMIKA KUKATAA KUBADILISHWA MUDA WA MCHEZO.
 
Ukumbuke utopolo wanaungwa mkono na taka taka nyingi zilizo kwenye vyombo vya habari.

Hizi "taka taka zinafurahia watu walivyokomolewa kwa kusafiri mwendo mrefu kuja kuona derby.

Taka taka zinafurahia kuona watu wanagomea kuingia uwanjani ili tu kuikomoa TFF.Hazijui zinaleta athari gani kwa soka hapa nchini
Yanga kwa sababu ya kuwakomoa TFF wameamua kujificha nyuma ya kanuni kususia mchezo wao wa 08.05.2021 na watani wao simba. kitendo hiki si cha kistaraabu hata kidogo na sijui wanatarajia kufaidika na nini. Hivi TFF wakiamua kuishi kwa kanuni Yanga itabaki kweli?
 
Yanga wana behave kama mwanamke anayelalamikia mume kwenye ndoa.

Kwani yanga ni x wa TFF?Mbona kama mnabebwa sana na waamuzi still mnalalamikia TFF?
 
Back
Top Bottom