All problems kwa Bi Mkubwa. Angekuwa JPM angepiga simu laivu papohapo uwanjani. ^Sikia, wananchi wametoa pesa zao, muda na nguvu kuja kuwashangilia na kupata burudani. Sasa lazima mechi ichezwe kwa muda uliopangwa. Otherwise, chagueni kuwarudishia pesa zao na kuwafidia KIKAMILIFU mali, muda na usumbufu mliowasababishia --- mpaka na yule shabiki aliyekimbia kwa miguu kutoka Kigoma, tena akaugua tumbo Morogoro kwa sababu yenu!!!^ ~ In JPM's stentorian voice.
ni jambo la kushangaza sana unapomshushia lawama mh. Rais kwenye hili jambo.yaani rais wa nchi awe anaangalia kila jambo kila nukta linaloendelea ndani ya nchi yake!?! inawezekana kabisa yeye sio mpenzi wa kandanda hata kidogo kwa hiyo hakuwa hata akifuatilia kinachoendelea uwanjani, lakini hata hivyo rais hawezi kuingilia jambo bila kujua ili na yeye asije ingia kwenye mtego wa kuvunja kanuni. Rais ni taasisi ndio maana ana mawaziri,ana wakurugenzi n.k. Unless mna lenu jambo lakini sioni mantiki ya kumhusisha rais na kadhia hii