Yanga walipaswa kufikiria hili ila wao badala ya kufikria wanawaza kumkomoa Karia na ati TFF wamejaa Simba tu- wamesau juzi tu katoka Maliza hapo. HOVYOAll problems kwa Bi Mkubwa. Angekuwa JPM angepiga simu laivu papohapo uwanjani. ^Sikia, wananchi wametoa pesa zao, muda na nguvu kuja kuwashangilia na kupata burudani. Sasa lazima mechi ichezwe kwa muda uliopangwa. Otherwise, chagueni kuwafidia KIKAMILIFU --- mpaka na yule shabiki aliyekimbia kwa miguu kutoka Kigoma, tena akaugua tumbo Morogoro kwa sababu yenu!!!^ ~ In JPM's stentorian voice.
Alikuja kwenye mechi ya saa 11 jioniKanuni ya Ustaraabu, busara na hekima. Hivyo fikiria yule shabiki wa Yanga aliyetoka Kigoma kwa miguu halafu asione kilichomleta?
TFF imeitaka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kutoa taarifa ya kina kuhusu kuahirishwa kwa mchezo huo, na kushughulikia hatima ya waliolipa viingilio. https://t.co/73m03b5G9GKanuni ya Ustaraabu, busara na hekima. Hivyo fikiria yule shabiki wa Yanga aliyetoka Kigoma kwa miguu halafu asione kilichomleta?
TFF wenyewe wameomba radh na wametoa maagizo kwa bodiYanga kwa sababu ya kuwakomoa TFF wameamua kujificha nyuma ya kanuni kususia mchezo wao wa 08.05.2021 na watani wao simba. kitendo hiki si cha kistaraabu hata kidogo na sijui wanatarajia kufaidika na nini. Hivi TFF wakiamua kuishi kwa kanuni Yanga itabaki kweli?
Yanga walipaswa kufikiria hili ila wao badala ya kufikria wanawaza kumkomoa Karia na ati TFF wamejaa Simba tu- wamesau juzi tu katoka Maliza hapo. HOVYO
Ungeanza kuwalaumu TFF wanaotumia kanuni kuwafuwafungia na kuwakomoa viongozi wa Yanga.Yanga walipaswa kufikiria hili ila wao badala ya kufikria wanawaza kumkomoa Karia na ati TFF wamejaa Simba tu- wamesau juzi tu katoka Maliza hapo. HOVYO
true mkuu, nina uhakika kabisa mechi hiyo ingechezwa. JPM angepiga cm moja kwa moja kwa viongozi wote na hiyo mechi hata saa 2 ingechezwaAll problems kwa Bi Mkubwa. Angekuwa JPM angepiga simu laivu papohapo uwanjani. ^Sikia, wananchi wametoa pesa zao, muda na nguvu kuja kuwashangilia na kupata burudani. Sasa lazima mechi ichezwe kwa muda uliopangwa. Otherwise, chagueni kuwarudishia pesa zao na kuwafidia KIKAMILIFU mali, muda na usumbufu mliowasababishia --- mpaka na yule shabiki aliyekimbia kwa miguu kutoka Kigoma, tena akaugua tumbo Morogoro kwa sababu yenu!!!^ ~ In JPM's stentorian voice.
Sijajua wanasheria wako wapi!??? Kwa nini wasiwafungulie hawa mabwanyenye kesi ya uhujumu uchumi!??? Na ulaghai!??? Kazi yao kuwatetea wezi tuuu, siyo!??? Siku zenu zinahesabika!!!
Kwanini JPM hakuwapigia simu hiyo jana? Nani alimzuia? Wewe baki kulalamika, sisi ni mbele kwa mbele na Rais SSH.All problems kwa Bi Mkubwa. Angekuwa JPM angepiga simu laivu papohapo uwanjani. ^Sikia, wananchi wametoa pesa zao, muda na nguvu kuja kuwashangilia na kupata burudani. Sasa lazima mechi ichezwe kwa muda uliopangwa. Otherwise, chagueni kuwarudishia pesa zao na kuwafidia KIKAMILIFU mali, muda na usumbufu mliowasababishia --- mpaka na yule shabiki aliyekimbia kwa miguu kutoka Kigoma, tena akaugua tumbo Morogoro kwa sababu yenu!!!^ ~ In JPM's stentorian voice.
Sijajua wanasheria wako wapi!??? Kwa nini wasiwafungulie hawa mabwanyenye kesi ya uhujumu uchumi!??? Na ulaghai!??? Kazi yao kuwatetea wezi tuuu, siyo!??? Siku zenu zinahesabika!!!
tff walihairishaje mechi bila kujua sababuTFF imeitaka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kutoa taarifa ya kina kuhusu kuahirishwa kwa mchezo huo, na kushughulikia hatima ya waliolipa viingilio. https://t.co/73m03b5G9G
true mkuu, nina uhakika kabisa mechi hiyo ingechezwa. JPM angepiga cm moja kwa moja kwa viongozi wote na hiyo mechi hata saa 2 ingechezwa
Sawa lakini vp kuhusu viingilio watu waliyotoaTFF wenyewe wameomba radh na wametoa maagizo kwa bodi
Wewe nani ???
Yanga wapo sahihi. Namm mwanasimba, nmewaunga mkono
Kwanini JPM hakuwapigia simu hiyo jana? Nani alimzuia? Wewe baki kulalamika, sisi ni mbele kwa mbele na Rais SSH.
Kwa vile TFF wameomba radhi kwa hiyo Yanga imepata point ngapi? TFF wamefanya hivyo kwa sababu ni wastaraabu ila wasiowastaarabu kama Yanga hawajamuomba radhi hata yule Mkazi wa Kigoma aliyekuja kwa miguu.TFF wenyewe wameomba radh na wametoa maagizo kwa bodi
Wewe nani ???
Yanga wapo sahihi. Namm mwanasimba, nmewaunga mkono