mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Siuo hatima ya waliolipa kiingilio tu pia wafikirie kutoa fidia kwa waliosafiri toka mikoani na kulala gesti!!TFF imeitaka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kutoa taarifa ya kina kuhusu kuahirishwa kwa mchezo huo, na kushughulikia hatima ya waliolipa viingilio. https://t.co/73m03b5G9G
Lawama ni kwa TFF! serikali iliomba muda usogezwe mbele. TFF wangesema haiwezekani kikanuni!! Vinginevyo serikali iombe moja kwa moja kwa timu za simba na yanga. !on any direction, wakulaumiwa ni serikali haswa waziri alietoa tamko na TFF wakalifuata,
Kwanza wasingethubutu kutamper na ratiba hiyo kipuuzi hivyo!!! If we say we have no leader now, some poor souls become very mad. Haidhuru, tutazidi kuwaeleza always hadi akili ziwakae kumkichwa.
Yanga wana kosa gani hadi waombe msamaha!? Tangu saa 9.30 jana walikuwa uwanjani!Kwa vile TFF wameomba radhi kwa hiyo Yanga imepata point ngapi? TFF wamefanya hivyo kwa sababu ni wastaraabu ila wasiowastaarabu kama Yanga hawajamuomba radhi hata yule Mkazi wa Kigoma aliyekuja kwa miguu.
Sisi mashabiki wa Yanga tumeridhishwa na maamuzi ya viongozi wetu! Wameonesha kuzifahamu kanuni zinazoendesha soka nchini! Sijui kinachowauma mbumbumbu ni nini?Yanga wanashindwa kuwafikiria hata Mashabiki waliotoka mikoani, watu wamelipia nauli, hela ya gesti/hotel etc lakini Yanga hawakujali hilo. Yanga wanadhani wamewakomoa tu TFF, hawajui kwamba hata Mashabiki wao nao wamekomolewa kwa utoto wao.
Simba kam Simba walikua tayari kucheza muda wowote. Shida mpira sio wa wachezaji tu, kuna mashabiki pia. Maamuzi yoyote yenye busara yangewafikiria na hao mashabiki.Sisi mashabiki wa Yanga tumeridhishwa na maamuzi ya viongozi wetu! Wameonesha kuzifahamu kanuni zinazoendesha soka nchini! Sijui kinachowauma mbumbumbu ni nini?
Kama ndio hivyo kwanini tff hawawapi simba point 3 na badala yake wameahirisha mechi?Mkuu soma hiyo kanuni ambayo Yanga yako imeweka kipanda tu ili kuficha ukweli
View attachment 1778864
View attachment 1778863
Uko serious kweli wewe?Yanga kwa sababu ya kuwakomoa TFF wameamua kujificha nyuma ya kanuni kususia mchezo wao wa 08.05.2021 na watani wao simba. kitendo hiki si cha kistaraabu hata kidogo na sijui wanatarajia kufaidika na nini. Hivi TFF wakiamua kuishi kwa kanuni Yanga itabaki kweli?
Dah! AiseeKwanini JPM hakuwapigia simu hiyo jana? Nani alimzuia? Wewe baki kulalamika, sisi ni mbele kwa mbele na Rais SSH.
Sheria na katiba za vilabu zote zinasema "tutatii maamuzi ya TFF, CAF na FIFA. Hilo ni jambo kubwa kuliko kanuni. Na kama yanga waliambiwa ni kwa sababu ya shughuli ya kitaifa kwanini wagome? Walichofanya Timu yangu ni very unprofessional. Timu yoyote makini huwa inatazama maslahi ya mashabiki kwanza na fair play kuliko visasi au chuki.Uko serious kweli wewe?
Katika scenario ya juzi ni nani kasusia mchezo?
Ratiba imepangwa muda mrefu. Watu wakasafiri maili nyingi toka sehemu mbalimbali hapa nchini...
Wakaingia uwanjani wengine saa 7, wengine saa 8, wengine saa 9, wengine saa 10 nk kwa ajili ya mchezo (game) iliyopangwa kuchezwa saa 11 jioni....
Yanga SC wakaingia uwanjani "ON TIME". Simba S.C wakaingia kwa kuchelewa saa 1:00 jioni...
Katika mazingira haya nani kafanya makosa? Timu gani iliwaheshimu na kuwajali mashabiki wa soka waliofika na kujazana uwanjani mapema kabisa..?
Under any circumstances, kulikuwa na busara gani kwa kuchukua maamuzi ya ghafla kuuchelewesha mchezo kwa masaa 3 zaidi nje ya muda uliopangwa siku nyingi zilizopita?
Taarifa ya kusogeza mbele muda haikutaja sababu yoyote ile! Basi TFF waipe Simba ushindi kama Yanga walisusia mchezo!Sheria na katiba za vilabu zote zinasema "tutatii maamuzi ya TFF, CAF na FIFA. Hilo ni jambo kubwa kuliko kanuni. Na kama yanga waliambiwa ni kwa sababu ya shughuli ya kitaifa kwanini wagome? Walichofanya Timu yangu ni very unprofessional. Timu yoyote makini huwa inatazama maslahi ya mashabiki kwanza na fair play kuliko visasi au chuki.
Taarifa ambayo klabu walipewa ilionyesha sababu ila Taarifa kwa umma ndio haikutaja sababu. Simba haiwezi kupewa point 3 kwa vile hakuna taratibu za mchezo zilizofanyika.Taarifa ya kusogeza mbele muda haikutaja sababu yoyote ile! Basi TFF waipe Simba ushindi kama Yanga walisusia mchezo!
Yanga kama CHADEMA wakiambia kiyu wasifanye wao wanaenda kinyume- wanaonyesha UGANGWE.Uko serious kweli wewe?
Katika scenario ya juzi ni nani kasusia mchezo?
Ratiba imepangwa muda mrefu. Watu wakasafiri maili nyingi toka sehemu mbalimbali hapa nchini...
Wakaingia uwanjani wengine saa 7, wengine saa 8, wengine saa 9, wengine saa 10 nk kwa ajili ya mchezo (game) iliyopangwa kuchezwa saa 11 jioni....
Yanga SC wakaingia uwanjani "ON TIME". Simba S.C wakaingia kwa kuchelewa saa 1:00 jioni...
Katika mazingira haya nani kafanya makosa? Timu gani iliwaheshimu na kuwajali mashabiki wa soka waliofika na kujazana uwanjani mapema kabisa..?
Under any circumstances, kulikuwa na busara gani kwa kuchukua maamuzi ya ghafla kuuchelewesha mchezo kwa masaa 3 zaidi nje ya muda uliopangwa siku nyingi zilizopita?
All problems kwa Bi Mkubwa. Angekuwa JPM angepiga simu laivu papohapo uwanjani. ^Sikia, wananchi wametoa pesa zao, muda na nguvu kuja kuwashangilia na kupata burudani. Sasa lazima mechi ichezwe kwa muda uliopangwa. Otherwise, chagueni kuwarudishia pesa zao na kuwafidia KIKAMILIFU mali, muda na usumbufu mliowasababishia --- mpaka na yule shabiki aliyekimbia kwa miguu kutoka Kigoma, tena akaugua tumbo Morogoro kwa sababu yenu!!!^ ~ In JPM's stentorian voice.
ni jambo la kushangaza sana unapomshushia lawama mh. Rais kwenye hili jambo.yaani rais wa nchi awe anaangalia kila jambo kila nukta linaloendelea ndani ya nchi yake!?! inawezekana kabisa yeye sio mpenzi wa kandanda hata kidogo kwa hiyo hakuwa hata akifuatilia kinachoendelea uwanjani, lakini hata hivyo rais hawezi kuingilia jambo bila kujua ili na yeye asije ingia kwenye mtego wa kuvunja kanuni. Rais ni taasisi ndio maana ana mawaziri,ana wakurugenzi n.k. Unless mna lenu jambo lakini sioni mantiki ya kumhusisha rais na kadhia hii
All problems kwa Bi Mkubwa. Angekuwa JPM angepiga simu laivu papohapo uwanjani. ^Sikia, wananchi wametoa pesa zao, muda na nguvu kuja kuwashangilia na kupata burudani. Sasa lazima mechi ichezwe kwa muda uliopangwa. Otherwise, chagueni kuwarudishia pesa zao na kuwafidia KIKAMILIFU mali, muda na usumbufu mliowasababishia --- mpaka na yule shabiki aliyekimbia kwa miguu kutoka Kigoma, tena akaugua tumbo Morogoro kwa sababu yenu!!!^ ~ In JPM's stentorian voice.
Sijajua wanasheria wako wapi!? Kwanini wasiwafungulie hawa mabwanyenye kesi ya uhujumu uchumi!? Na ulaghai? Kazi yao kuwatetea wezi tuuu, siyo! Siku zenu zinahesabika!
mkuu sio masaa 24 pace ni ANGALAU!!!All problems kwa Bi Mkubwa. Angekuwa JPM angepiga simu laivu papohapo uwanjani. ^Sikia, wananchi wametoa pesa zao, muda na nguvu kuja kuwashangilia na kupata burudani. Sasa lazima mechi ichezwe kwa muda uliopangwa. Otherwise, chagueni kuwarudishia pesa zao na kuwafidia KIKAMILIFU mali, muda na usumbufu mliowasababishia --- mpaka na yule shabiki aliyekimbia kwa miguu kutoka Kigoma, tena akaugua tumbo Morogoro kwa sababu yenu!!!^ ~ In JPM's stentorian voice.
Sijajua wanasheria wako wapi!? Kwanini wasiwafungulie hawa mabwanyenye kesi ya uhujumu uchumi!? Na ulaghai? Kazi yao kuwatetea wezi tuuu, siyo! Siku zenu zinahesabika!
Kubadili muda ni masaa 24 kabla ya mechi, na mazingira maalum yanaweza kubadili, je jana kulikuwa na mazingira gani maalum ya kusogeza muda wa mechi hiyo jana?