Yanga wameonesha ubinafsi na ukosefu wa ustaarabu wa hali ya juu sana

Kanuni ya Ustaraabu, busara na hekima. Hivyo fikiria yule shabiki wa Yanga aliyetoka Kigoma kwa miguu halafu asione kilichomleta?
KANUNI ZILEZILE ZINAZOTUMIKA KUWAFUNGIA VIONGOZI WA YANGA NDIZO HIZOHIZO WALIZOTUMIA YANGA KUTOCHEZA MCHEZO ULE.
 
Hatotokea tena kama JPM nchi hii..wanatokeaga mara1 tu hao
 
Naomba nijibu hapa TFF walitumia kanuni gani kuipeleka Namungo kucheza African confederation cup?
 
Yanga hawako sahihi. Tuzingatie sheria, kanuni, taratibu na busara nayo itumike. Hata huko mahakamani busara huwa zinatumika.
Busara hizohizo zingetumika kuwapiga faini na kuwafungia viongozi wa Yanga sasa. Manara amatukana kila siku hakuna faini wala kufungiwa, dismas Ten kafanya ishu ndogo kapigwa faini kubwa nk nk. Yanga wamemwanga ugali sasa.
 
Wewe nani amekupa hiyo TAARIFA? MBONA HAO SIMBA NA YANGA WENYEWE HAWAJUI?
 
HAO wametupa faida Simba.
Tungecheza nao wangeweza hata kuwaumiza wachezaji wetu muhimu.
Kanuni ya Ustaraabu, busara na hekima. Hivyo fikiria yule shabiki wa Yanga aliyetoka Kigoma kwa miguu halafu asione kilichomleta?
 
Wanaounga mkono yanga sport club wengi wao niwale wapinga serikali.
Nimarangapi mechi zilikua zikisogezwa mbele na bado haohao yanga walikua wanacheza hawakua wanakijua hicho kifungu cha sheria
Yanga wametukosea Sana sisi mashabiki wa mpira wa miguu kwakua sisi mashabiki tulikua tumeridhika kusubiri mechi hiyo ndio maana hatukutoka uwanjani.
Sawa yanga wanajificha kwenye kifungu cha sheria kuikoma TFF na Serikali huku wakijua hawawezi kushushwa daraja kwakua ni club kubwa ila wametukosea Sana wapenzi wa mpira wa miguu.
 
Huna akili, TFF wanapoihukumu yanga kwa kigezo cha kanuni uliwahi kuropoka haya.
Mnaongea kama maneno yanatoka matakoni hivi. KANUNI ZINAZOTUMIKA KUWAFUNGIA VIONGOZI WA YANGA NDIZO HIZOHIZO ZIMETUMIKA KUKATAA KUBADILISHWA MUDA WA MCHEZO.
 
Ukumbuke utopolo wanaungwa mkono na taka taka nyingi zilizo kwenye vyombo vya habari.

Hizi "taka taka zinafurahia watu walivyokomolewa kwa kusafiri mwendo mrefu kuja kuona derby.

Taka taka zinafurahia kuona watu wanagomea kuingia uwanjani ili tu kuikomoa TFF.Hazijui zinaleta athari gani kwa soka hapa nchini
 
Yanga wana behave kama mwanamke anayelalamikia mume kwenye ndoa.

Kwani yanga ni x wa TFF?Mbona kama mnabebwa sana na waamuzi still mnalalamikia TFF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…