Yanga wamesajili mafia

Nilijuaa una KAELIMU KADOGO
NAOMBA SEHEMU YA HUKUMU YA KESI YAKE
KUWA ARRESTED HATA MKEO ANAWEZA BAMBIKIWA KABAKA DO U KNOW THIS??
USIMHUKUMU MTU KABLA AJAHUKUMIWA...
LAST WARNING
 
BWEGE HUYU ANAULIZWA HUKUMU ANAJIBU UHAROO
 
TOKA WAFUNGWE KILAMMTU MAFIA
YANGA MAFIA
NAHUYU MCHEZAJI NAE MAFIA AISEE
MAFIOSOSTO
 
TOKA WAFUNGWE KILAMMTU MAFIA
YANGA MAFIA
NAHUYU MCHEZAJI NAE MAFIA AISEE
MAFIOSOSTO
Mkuuu tuleteee matokeo ya Vyura na Kagera. Naskia mnaleta huyo kibaka ili awe anaiba magoli na timu pinzani na kuyaleta Jangwani
 
Wezi wa matikiti wanasajili mwizi wa magari?? Wezi FC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Bongo aibe mitumba ya kijapani mileage 300,000 km ???South Africa wageni wote wezi tu na drug dealers
 
Tatizo la mbumbumbu ni kudandia treni kwa mbele.

Mnafukunyua ya Morrison na kusahau yule mchezaji wenu kibaka aliyeiba gari la jeshi. Mnasahau mbwajaji wenu tapeli na mwizi wa magari.
 
Yanga ikae makini na huyu msela, wakimzingua mshahara wake tu atasepa na basi lile la timu hata kama ni mchuzi juu
 
Yanga ikae makini na huyu msela, wakimzingua mshahara wake tu atasepa na basi lile la timu hata kama ni mchuzi juu
Yaaani hilo siyo la kuuuliza ni suala la muda tu.
 
Hans Pop ( Makofia) na uhaini dhidi ya serikali ya Mwalimu! Kina Hasanol, Rage, Kabulu, Aveva na huyu Mlopokaji wao wote ni makonk ya uhalifu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja akwapue pochi la Nugaz a.k.a mzee wa clean sheet ndio wataelewa vizuri
 
Nyie jiteeteeni lkn huko kuzomewa kwa huyo mghana kutakuwa siyo kwa Nchi hii pale Taifa, mwaka huu ataitwa majina yoote ya Kihalifu mnaloooo
Anajibu maombiiii x12....cha nguruwe jiji kimyaaa
 
Yes, ni kweli huyu Paulo Rossi alishitakiwa mwaka1982 akituhumiwa kujihusisha ktk "Betting Scandal" na akaombewa ruhusa maalum atoke jela ili akatumikie taifa lake, Italy kwenye World Cup mwaka huo kule nchini Spain.

Ktk mashindano hayo Rossi aliibuka mfungaji bora na hivyo kufanya Italy itwae kombe kwa kuinyuka West Germany 3-1 ktk fainali ambapo Rossi alifunga moja kati ya hayo mabau.

Na baada ya hapo ndio akawa amepewa "Amnesty" na hakurejea tena gerezani. Nakumbuka kuna kampuni moja ya kutengeneza viatu cha huko Italy pia ilimzawadia offer ya kupewa viatu vya kuvaa kwa maisha yake yote.
 
Amebadilika anatupa raha jangwani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…