Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Aug 13, 2022 #21 Utakula ulipopeleka mboga
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Aug 13, 2022 #22 Rosh Hashannah said: Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama. Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi! Click to expand... Hiyo ni taasisi na kila taasis ina taratibu na tamaduni zake Hongera Yanga kwa kutangaza fursa za ajira kwa wanachama wake
Rosh Hashannah said: Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama. Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi! Click to expand... Hiyo ni taasisi na kila taasis ina taratibu na tamaduni zake Hongera Yanga kwa kutangaza fursa za ajira kwa wanachama wake
technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 12,706 Reaction score 52,355 Aug 13, 2022 #23 Yanga wapo sahihi kwa 100% Kama wewe ni simba kaombe kazi simba Kama wewe ni namungo kaombe kazi namungo Mbona hamwasemi ccm na chadema kupeana kazi kwa kadi za uwanachama.
Yanga wapo sahihi kwa 100% Kama wewe ni simba kaombe kazi simba Kama wewe ni namungo kaombe kazi namungo Mbona hamwasemi ccm na chadema kupeana kazi kwa kadi za uwanachama.