Yanga wamewaletea wana-Simba wawaone wachezaji wao

Yanga wamewaletea wana-Simba wawaone wachezaji wao

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Ni siku ya mwananchi ni Yanga SC vs Viperz ya Uganda, ambapo Viperz kuna wachezaji wa 2 ambao simba imewanyakua yaani Manzoki na Bobosi.

Yanga hawaku changa karata zao vizuri ktk hili, ni wazi Manzoki anaweza akaambiwa na mwajiri wake mpya (Simba SC) acheze kiwango cha chini ili asipate majeraha.

Yanga hapa hamjafanya Byuti Byuti.
 
Huyo WANZUKI sijui nzuki mnampamba sana ila akija hapa kwa ligi yetu anakuwa Mugalu aliyechangamka
 
Huyo WANZUKI sijui nzuki mnampamba sana ila akija hapa kwa ligi yetu anakuwa Mugalu aliyechangamka
Siku ya mwananchi hatocheza ..mark my words simba wata mwambia asicheze maana machezaji ya uto yatataka kumpa majeraha 😆😆😆😆
 
AZAM TV: Mpira wetu KIVYETUVYETU.
Kweli Azam hawakukosea, huu ujinga utaukuta Tanzania pekee.
 
Mapapai ya mo akili zenu mnazijua wenyewe
 
Sasa kwenye mechi Manzok atacheza kama mchezaji wa viperz au kama mchezaji wa Simba?
Manzoki kasha sign na miamba Simba sc, na wale viperz mkataba bado miezi 2 tu shekh ...sasa kwann ajiumize wakati atataka kuja kumfurahisha boss wake mpyaa...lkn pia anaweza aka ambiwa embu akiwashe ili awa alert utopolooo
 
Ivi unajua unachokiandika !! Maana ulichokiandika inaonyesha hujui chochote kuhusu wajibu wa mchezaji wa mpira wa miguu.
 
Ivi unajua unachokiandika !! Maana ulichokiandika inaonyesha hujui chochote kuhusu wajibu wa mchezaji wa mpira wa miguu.
Ndii utajua hujui ww utopolo ....mmesahau kioindi kile tuna wapokonya Ben kichaa, sialianza kuwaletea visanga mara kapotea mazoezini, mara ana sepa hotelini
 
Hujui viongozi wenu wa Simba wanamchukia sana Yusuph Bakheresa, kisha wachukua wachezaji wa tatu kutoka kwenu,huyo Manzoki mwenye mnaweza msipate.

Yanga kwa K Aziz ilikuwa kidogo tu Yusuph amvute Azam,jamaa anamaliza mwenyewe na si kama nyinyi viongozi waongee, waweke cha udalali chao then ambiwe Mo.Katika msimu huu wa usajili Yusuph Bakheresa ni bonge la mafia kwenye usajili halafu yupo kimya kimya.
 
😆😆😆 Una leta story gani ww mambo ya kumchukia fulan fulan ..hakunaga simba ni soka tu
 
😆😆😆 Una leta story gani ww mambo ya kumchukia fulan fulan ..hakunaga simba ni soka tu
We kataa ila ndio ukweli wenyewe, nyie mpaka viongozi wamwambie Mo ,ila yy anaenda mwenyewe front.
 
Anae kwenda front nani ?
Screenshot_20220702-193621_Instagram.jpg

Huyo wa upande wa kushoto aliye vaa kofia ,hiyo middle ilitakiwa ije Simba nguvu ya pesa ikaamua,Sopu kamchomoa kambini usiku kamcash hela yake usiku na kamsainisha usiku baada ya faiali na Yanga.
 
Back
Top Bottom