Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Dalili za kuingiwa na mchecheto hizi juu ya huyo Manzoki! Tangu lini mchezaji wa mpira akaambiwa acheze chini ya kiwango, halafu kirahisi tu akakubali!Ni siku ya mwananchi ni Yanga sc vs Viperz ya Uganda, ambapo Viperz kuna wachezaji wa 2 ambao simba imewanyakua yaani Manzoki na Bobosi .
Yanga hawaku changa karata zao vizuri ktk hili ...ni wazi Manzoki anaweza akaambiwa na mwajiri wake mpya (simba Sc) acheze kiwango cha chini ili asipate majeraha.
Yanga hapa hamjafanya Byuti Byuti