luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Siku ya mwananchi hatocheza ..mark my words simba wata mwambia asicheze maana machezaji ya uto yatataka kumpa majeraha ππππHuyo WANZUKI sijui nzuki mnampamba sana ila akija hapa kwa ligi yetu anakuwa Mugalu aliyechangamka
mmmh ngoja tuoneSiku ya mwananchi hatocheza ..mark my words simba wata mwambia asicheze maana ma hezaji ya uto yatataka kumpa majeraha ππππ
Haya mambo yapo hata europe mzee mababa ...AZAM TV: Mpira wetu KIVYETUVYETU.
Kweli Azam hawakukosea, huu ujinga utaukuta Tanzania pekee.
Manzoki kasha sign na miamba Simba sc, na wale viperz mkataba bado miezi 2 tu shekh ...sasa kwann ajiumize wakati atataka kuja kumfurahisha boss wake mpyaa...lkn pia anaweza aka ambiwa embu akiwashe ili awa alert utopoloooSasa kwenye mechi Manzok atacheza kama mchezaji wa viperz au kama mchezaji wa Simba?
Ma zombie ya salamanda mpoooMapapai ya mo akili zenu mnazijua wenyewe
Ivi unajua unachokiandika !! Maana ulichokiandika inaonyesha hujui chochote kuhusu wajibu wa mchezaji wa mpira wa miguu.Manzoki kasha sign na miamba Simba sc, na wale viperz mkataba bado miezi 2 tu shekh ...sasa kwann ajiumize wakati atataka kuja kumfurahisha boss wake mpyaa...lkn pia anaweza aka ambiwa embu akiwashe ili awa alert utopolooo
Ndii utajua hujui ww utopolo ....mmesahau kioindi kile tuna wapokonya Ben kichaa, sialianza kuwaletea visanga mara kapotea mazoezini, mara ana sepa hoteliniIvi unajua unachokiandika !! Maana ulichokiandika inaonyesha hujui chochote kuhusu wajibu wa mchezaji wa mpira wa miguu.
πππ Una leta story gani ww mambo ya kumchukia fulan fulan ..hakunaga simba ni soka tuHujui viongozi wenu wa Simba wanamchukia sana Yusuph Bakheresa, kisha wachukua wachezaji wa tatu kutoka kwenu,huyo Manzoki mwenye mnaweza msipate.
Yanga kwa K Aziz ilikuwa kidogo tu Yusuph amvute Azam,jamaa anamaliza mwenyewe na si kama nyinyi viongozi waongee, waweke cha udalali chao then ambiwe Mo.Katika msimu huu wa usajili Yusuph Bakheresa ni bonge la mafia kwenye usajili halafu yupo kimya kimya.
We kataa ila ndio ukweli wenyewe, nyie mpaka viongozi wamwambie Mo ,ila yy anaenda mwenyewe front.πππ Una leta story gani ww mambo ya kumchukia fulan fulan ..hakunaga simba ni soka tu
Anae kwenda front nani?We kataa ila ndio ukweli wenyewe, nyie mpaka viongozi wamwambie Mo ,ila yy anaenda mwenyewe front.
Anae kwenda front nani ?