Dalili za kuingiwa na mchecheto hizi juu ya huyo Manzoki! Tangu lini mchezaji wa mpira akaambiwa acheze chini ya kiwango, halafu kirahisi tu akakubali!Ni siku ya mwananchi ni Yanga sc vs Viperz ya Uganda, ambapo Viperz kuna wachezaji wa 2 ambao simba imewanyakua yaani Manzoki na Bobosi .
Yanga hawaku changa karata zao vizuri ktk hili ...ni wazi Manzoki anaweza akaambiwa na mwajiri wake mpya (simba Sc) acheze kiwango cha chini ili asipate majeraha.
Yanga hapa hamjafanya Byuti Byuti
Mmesahau Ben kichaa tulivyokuwa tuna mchezesha wakati mpo nae..tulikuwa tuna mtuma tu leo gomea mazoezi ..anagomea, leo usiende kambini kweli haendiii ....ukisha pewa kisha uchumba inakuwa shidaaaDalili za kuingiwa na mchecheto hizi juu ya huyo Manzoki! Tangu lini mchezaji wa mpira akaambiwa acheze chini ya kiwango, halafu kirahisi tu akakubali!
Ah huyu, kwanza atajuta kwann katua hapo azamView attachment 2311378
Huyo wa upande wa kushoto aliye vaa kofia ,hiyo middle ilitakiwa ije Simba nguvu ya pesa ikaamua,Sopu kamchomoa kambini usiku kamcash hela yake usiku na kamsainisha usiku baada ya faiali na Yanga.
Kwahio ame sign timu mbili?Manzoki kasha sign na miamba Simba sc, na wale viperz mkataba bado miezi 2 tu shekh ...sasa kwann ajiumize wakati atataka kuja kumfurahisha boss wake mpyaa...lkn pia anaweza aka ambiwa embu akiwashe ili awa alert utopolooo
Kumbe shekh uma comment tu kisha haufahamu kama Manzoki ni mnyama mtarajiwa ? ...Manzoki kasha sign Yanga pale Viper amebakisha miezi2 tu ...sasa ww unafikir atakuwa tayari ajitume wakat mkataba ushakwishaa ?
View attachment 2311378
Huyo wa upande wa kushoto aliye vaa kofia ,hiyo middle ilitakiwa ije Simba nguvu ya pesa ikaamua,Sopu kamchomoa kambini usiku kamcash hela yake usiku na kamsainisha usiku baada ya faiali na Yanga.