Research Consultant
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 453
- 772
Za ndaaaaaani kabisa,
#TETESI Yanga wamempa Million 400 Beki wa Simba Mohamed Hussein ''Zimbwe Jr'' ili aweze kujiunga na Yanga katika kipindi hiki.
Taarifa zaidi inasema kwamba Yanga wanataka kuendelea kuboresha timu yao kwenye michuano ya kimataifa kwa kuendelea kutafuta wachezaji wenye uzoefu na mashindano ya kimataifa.
Mohamed Hussein yupo tayari kuondoka kama taratibu zote za uhamisho zitafuatwa ingawa mwenyewe anasema kwamba ofa ambayo epewa na yanga ni kubwa na ni nzuri kwake.