Tetesi: Yanga wamgeukia Zimbwe Jr

Mnataka mkamlipe aftatu kama feisal
 
Kama ataenda kulipwa pesa nzuri zimbwe aende tu.

Kwa sasa ni beki bora wa kushoto hapa bongo (according to me).
Masahihisho:
Beki bora wa kushoto bongo ni Lomalisa, midfielder bora Aziz Ki, beki bora wa kati ni Dickson Job, mshambuliaji bora Mayele na kipa bora Diarra, wapeni zawadi zao ligi ishaisha utopolo huwa tunabeba kombe kwa gepu la pointi 6
 
Feisal tuu mmeshindwa kumuongeza mshahara, au hii ndio mbinu viongozi wa kinyesi fc wanatumia kuwa pumbaza mashabiki zao sababu Kila mchezaji wanamtaka, acheni mba mba nyingi
 
Masahihisho:
Beki bora wa kushoto bongo ni Lomalisa, midfielder bora Aziz Ki, beki bora wa kati ni Dickson Job, mshambuliaji bora Mayele na kipa bora Diarra, wapeni zawadi zao ligi ishaisha utopolo huwa tunabeba kombe kwa gepu la pointi 6
aya sawa.
 
Hiyo taka taka ibaki huko huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ